Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

Billioni 15 tuu kupeleka kigoma na Katavi umeme wa gridi ya Taifa? mbona pesa ndogo sana, kama ni kweli hiyo ndio gharama basi tumejaza wajinga na malofa watupu kwenye mamlaka
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Billioni 15 tuu kupeleka kigoma na Katavi umeme wa gridi ya Taifa? mbona pesa ndogo sana, kama ni kweli hiyo ndio gharama basi tumejaza wajinga na malofa watupu kwenye mamlaka
Huyu ndio Samia Sasa ,Kaziiendelee
 
Hebu lete tuone huo muda mrefu mradi huu ulionza, Tupia link
Muwe mnatumia akili na sio makalio,
Sifa zingine za kijinga hazitakiwi na hazina faida kwa watanzania.
 
Umeme wenye ni waya tu hakuna nishati aibu kusifia wakati shida iko palepale na bei za vitu zinapanda bila usimamizi.
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…