Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii.
Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu kipaumbele kwa kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira bora ya kujisomea na pia kujenga shule karibu ili kupunguza umbali wakwenda shule.
Kupitia fedha za Uviko-19, Rais Samia alijenga vyumba vya madarasa, bweni, maabara na maktaba za kujisomea ili kuhakikisha wanafunzi hawa wanapata elimu bora na sio bora elimu.
Hakuishia hapo tu, alihakikisha pia kuna vifaa vyote vya kujisomea kama vitabu na pia walimu kwenye shule hizo na ndio maana ufaulu umeongezeka sababu wanafunzi hawa walikua hawapati tena tabu ya kuitafuta elimu.
Nani kama MAMA SAMIA SULUHU HASSAN? NANI KAMA MAMA YETU? HAKIKA TANZANIA TUPO SALAMA NA RAIS SAMIA SULUHU. KAZI IENDELEE