Kuwa siriasi basi hata kama ni uchawa!pesa za COVID za jana tu,leo zilete matokeo makubwa!!!??
Hii ni Siasa tu,watu wanacheza na namba kumfurahisha mkubwa na kulinda ajira zao.Kipindi Cha Kikwete,wanafunzi walifeli balaa,ma genius wa ccm wakaja na "big result now"matokeo makubwa sasa,hiyo agency ikiongozwa na profesa mmoja wa majararani.akaona dawa hapa ni kushusha alama za ufaulu Ili na wale vilaza wafaulu,wakafaulu!!!?
Kwahiyo kwa mabinti Hawa Tena kutoka shule za serikali kufaulu,ni mchezo tu,Siasa za kisenge,wanajitekenya na wanacheka wenyewe