Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Chief of Staff "ametumbuliwa"

Pia inawezekana CDF General Venance Mabeyo anakaribia kustaafu, hivyo ili kutengeneza mazingira mazuri ya seniority na utii, second in command Luteni Jenerali Yacoub Mohamed ametafutiwa wadhifa nje ya jeshi ili atakaye mrithi CDF ajisikie ni senior bila kusahau cheo cha chief of Staff kitapata mtanzania mwingine ktk listi ya ma-senior au kuna atakaye rushwa vyeo kumrithi mnadhimu mkuu jeshini. Muda utatuambia.
 
Katolewa kwenye equation ya succession plan za CDF
Mama this time anatuletea CDF kutoka Zenj
U-CDF asingeupata, kwa namna yoyote ile angeondoka tu na Mabeyo muda ukifika. Ila kama walivyosema wadau, Mabeyo must be on his way out.

Tovuti ya jeshi inasema Mabeyo kajiunga na jeshi mwaka 1979, maana yake amekuwa jeshini miaka 42 sasa. If you do the math, muda unaelekea ukingoni au umeshapita.
 
Pia inawezekana CDF General Venance Mabeyo anakaribia kustaafu, hivyo ili kutengeneza mazingira mazuri ya seniority na utii, second in command Luteni Jenerali Yacoub Mohamed ametafutiwa wadhifa nje ya jeshi ili atakaye mrithi CDF ajisikie ni senior bila kusahau cheo cha chief of Staff kitapata mtanzania mwingine ktk listi ya ma-senior au kuna atakaye rushwa vyeo kumrithi mnadhimu mkuu jeshini. Muda utatuambia.
1621706506991.png


Kweli kabisa.... 1979 mpaka leo, he must be on his way out
 
Toka maktaba : mabalozi wateule walipokuwa wanatekeleza majukumu yao kabla ya uteuzi mpya wa Leo 22 May 2021


  • Mkurugenzi wa TanTrade Bw. Edwin Novath Rutageruka, akifafanua jambo katika mkutano huo.

  • Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi Mindi H. Kasiga ambaye alikuwa Mshehereshaji wa Mkutano huo akiongea jambo.
  • .
 
Mimi hata angeteua gunzi la mhindi kuchukua cheo chochote sitajali ili mradi tu hilo gunzi halihusiani na team mwendazake aliyetutesa na ukabila, ukanda na ushkaji.
 
Wee nae unachanganya madesa[emoji16][emoji16][emoji1787]

Huyu New Ambassador ni Hoyce sio Joyce Kiria

Kingine hiyo storee kumhusu huyo Joyce ni irrelevant

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna mdau kesha nikosoa Mkuu na nimekubaliana nae.

Na wewe nakushukuru na nimekubaliana na wewe!.

Ni hapa Bernabeu pananichanganya Mkuu.
 
Wanajuabna na mama, hana hadhi ya ubalozi...... kwa uzoefu upi katika shghuli za serikali? Huyu Mama naye anaanza vituko vya karne
Mange Aliwahi Kusema Kwamba Hyo HT Ni Lesbian Kakubuhu [emoji1787][emoji1787]
 
Hii Dunia haiko sawa kabisa. Yaani Hoyse Temu na Mnadhimu wa Jeshi la Tanzania ,Kamanda wa wanamaji, wako hadhi sawa sasa.Duuuuh!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha kunichekesha Kijana
 
Balozi Mteule Noel Emmanuel Kaganda

Biography – Mr. Noel Kaganda​

Adviser, Sixth Committee​

kaganda.jpg

Mr. Noel Emmanuel Kaganda joined the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania in January 2007, where he worked in the United Nations Section of the Department of Multilateral Cooperation.

He was a delegate at the sixty-second to sixty-sixth sessions of the United Nations General Assembly and participated in negotiations and adoptions of the Convention on Cluster Munitions (CCM), and Arms Trade Treaty (ATT). He also served as personal Assistant to the Deputy Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.

From February 2012 to November 2014, Mr. Kaganda served as First Secretary at the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York, where he covered the General Assembly, United Nations Agencies, Funds and Programmes, and the Economic and Financial Committee (Second Committee).

He was an Adviser for Tanzania in the Open Working Group on Sustainable Development Goals. From July to November 2014 he served as a Coordinator of the African Group’s Second Committee Experts in New York.

He holds a Master of Laws (LL.M), with distinction, in International Human Rights and a Bachelor of Arts, with honours, in Criminal Justice and Policing from Birmingham City University, England. He also holds a Post-Graduate Diploma in Management of Foreign Relations from the Mozambique – Tanzania Centre for Foreign Relations. Mr. Kaganda is a national of Tanzania.
 
Balozi Mteule Mh. Macocha Moshe Tembele

Toka maktaba :

Mh. Macocha Moshe Tembele : baadhi ya Kazi alizotumika ktk Jumuiya za kidiplomasia na mahusiano ya kimataifa soma: 5th round of inter-Burundian dialogue postponed for week

The Speaker, Macocha Moshe Tembele wrote on Twitter: “The East African Community Facilitator of the Inter- Burundi dialogue His Excellency Benjamin Mkapa has decided to convene the Fifth Session in Ngurdoto, Arusha from 19-24 October. He expects the Barundi to freely and conclusively discuss ALL matters that would enable holding of successful 2020 elections”. Burundi fifth round of dialogue set to be held on October 19-24, 2018.

Macocha Moshe Tembele akiwa msaidizi wa Mzee Mkapa, hapa anaelezea maisha na mazungumzo yake na Mzee Mkapa
 
Back
Top Bottom