Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Balozi mteule : Mahmoud Thabit Kombo

Toka maktaba:

7 Jun 2020
Waziri wa habari Utalii na mambo ya kale zanzibar ameruhusu kutua ndege na kuanza harakati za utalii Zanzibar




Mahmoud Thabit Kombo : Profile :
Source : House of Representatives - Home

School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
EDUCATION
Saateni Nursery SchoolNursery Education19731980Nursery
Tumekuja Primary SchoolPrimary Education19811984Primary
Hamamni Secondary SchoolSecondary Education19851988O - Level
Lumumba CollegeSecondary Education19881990A - Level
University of Sunderland UkB.A in Business Accounting and Computing19911995Degree
Cables and Wireless College Uk.MSc. (Applied ICT and AI)19951996Masters Degree
Geneva School of DiplomacyM.A in International Relations and Diplomacy20112013Masters Degree
 
Balozi mteule Mh. Pereira Ame Silima


Toka maktaba:

Mfahamu Kiundani : Zanzibar 2020 - Namba 27: Pereira Ame Silima amechukua fomu ya kugombea Urais Zanzibar kupita CCM
Pereira Ame Silima (PAS) ni mmoja ya makada wa CCM katika orodha ya watu zaidi ya 10 ambao mpaka sasa wametajwa kuwa na nia ya kuipata nafasi ya kuteuliwa na CCM kugombea Urais Zanzibar mwaka huu. Kihistoria PAS kazaliwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe 14 Machi mwaka 1959 na Machi 14 mwaka huu alikata keki na kufanya dua ya kutimiza umri wa miaka 61.

PAS kakulia Unguja ambako ndiko alikosoma na kuhitimu elimu yake ya Kidato cha Nne na kisha kusomea na kupata Stashahada (Diploma) katika mambo ya misitu.Baada ya masomo yake aliajiriwa SMZ kwa nafasi za chini kabla ya kupanda hadi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na baadae Wizara ya Biashara, Utalii na Masoko Zanzibar.

Mwaka 2010 aliamua kujitosa katika siasa na kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Chumbuni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na akiwa katika nafasi hiyo akateuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani (2010 - 2015).

11 Mar 2014

Interview with Hon A.Silima Pereira at Wise Media's seventh EMEA summit

Hon. Pereira Ame Silima , Deputy Minister of Home Affairs, Tanzania (2010-2015) discusses the inter-connected information society in the context of the importance of accurate and secure identification referencing the implementation of digital government services (e-Government) in Tanzania.

 
You get my point! Huwezi kutoka kuwa Miss tanzania ukawa Balozi . Yeye anatakiwa aende huklo huko kweny umiss... Hivi ni University graduate? Form six inatosha anyway! Kizungu anakijua ama ni kama Jiwe?...
Hoyce hajatoka kwenye u-miss na kuwa balozi kwa sababu hadi hapa tunapoongea, amefanya mambo mengi nje ya masuala ya urembo na burudani kuliko mambo aliyofanya kwenye tasnia ya urembo!!

I can sincerly say, Hoyce ni miongoni mwa wachache sana (kama wapo) ambao waliingia kwenye mambo ya urembo kama amsha amsha ya ujana tu ya kujaribu kila kitu lakini career yake ipo nje kabisa ya masuala ya urembo!!

Na kuhusu elimu, for what I know ana Masters Degree, na kuna wakati alikuwa anachukua PhD ingawaje sifahamu aliishia wapi! Na pia aliwahi kusoma pale Chuo cha Diplomasia.
 
Imekuwaje General Mohammed kuondolewa kutoka chief of staff? au kwa vile anakaribia umri wa kustaafu? General Mohammed ni kati ya maafisa wa jeshi wasomi sana tena ni mtu mahiri katika mambo ya ulinzi na usalama. Nadhani ataletwa kuwa Balozi wa Marekani
 
Nakumbuka wakati akisoma hotuba yake ya mwisho kama waziri wa afya alilia pale Tanga kutokana na kuchinjwa kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015.
 
Madam President anafungua nchi, kuna wateule vijana kabisa na wasomi wenye weledi na uzoefu, pia kuna ma-legendary; bila shaka watakuwa chachu kwa maendeleo ya Taifa.

Ila niwe wazi, toka enzi ya JK kuja kwa JPM kuna msamiati wa "diplomasia ya uchumi" limekuwa kwenye vinywa vya mabalozi na baadhi ya "wakubwa"; japo kiuhalisia nadhani mabalozi wetu hawajafanya mkakati jumuishi unaoakisi economic diplomacy.

Bila shaka wateule wa sasa watalitendea haki hili kwa weledi mkubwa.

Kila la kheri wateule, Mungu awasaidie mtimize majukumu yenu.
 
Mtu kuwa kiongozi Bongo ni kama kuwa mungu mtu. Nafasi za uongozi zinachukuliwa kama sehemu ya kujineemesha na kuwa mamlaka ya kutenda upendavyo. Ile dhana ya ya kuwa uongozi ni utumishi kwa watu haipo kabisa...
Upo correct mkuu. Viongozi wengi wa nchi za kiafrica hawa dhamira ya dhati kudeal na matatizo ya wananchi Ila wakipata madaraka wanafanya kila wanachiweza kulinda madaraka yao waendelee kuwepo .Poor us
 
nani alimpeleka Lugumi kupigqa zile picha? I a, just curious. Mama lazima aachane na hawa wapigaji akitaka kufika salama
Zile picha naona ni kama za zamani kidogo. Lugumi amekuwa kwenye hii biz muda kidogo, am not sure kama ni mpya. Sema kitendo cha kuziweka mtandaoni, labda swali ni nani aliyempa ruksa ya kuzitumia?
 
Hii kasi ya kufumua injini.... Naona kama inazidi kushika kasi....

But we're moving... And we've to move.....
 
Back
Top Bottom