Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)

Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu

Zaidi soma:

FC548FCB-7247-462F-A9E5-F482CAAA6F5C.jpeg


Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
 
Mkojani anaogelea mawinguni tu. Soon ata-collide na malaika huko
 
Hii Katiba hii kama Rais asipokuwa makini itamfanya awe mungu-mtu.
Imempa mtu mmoja madaraka makubwa mno.
 
Mzee Yona Killagane!!!ni Mzee mmoja muungwana sana,alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC kwa miaka mingi mpaka alipostaafu
 
Yona Killaghane nilisoma kitabu chake cha Accounts,tulikuwa tuna Lecturer wa FA ana copy maswali kama yalivyo😂😂😂
 
Hii Katiba hii kama Rais asipokuwa makini itamfanya awe mungu-mtu.
Imempa mtu mmoja madaraka makubwa mno.
Mtulie tuli kama maji ya mtungini, hii ni zamu yetu, Sukuma gang mkubali matokea kwamba bwana yule is no more, inabidi mmoveon.

Mwacheni mama achape kazi.
 
Vipi wakristo wenzangu mbona hamuulizi ni dini gani? Maana mmejikausha kimya lakini ingekua jina la kiislamu moto ungewaka mara hii zamu ya mashehe binadamu tunamambo sana.
 
Back
Top Bottom