Jamaa kasoma project planning and community development....hana background yoyote ya mafuta na gasi wala madini...kwanza hajawahi kuajiriwa zaidi ya kuwa kada wa UVCCM.Huyu kijana hapana.
Uzoefu wake mkubwa ni UVCCM!
Hili ni furushi la samadi ya mbolea mbichi.
Zama hizi mpya, bado mama Samia anakwenda kuokoteza makada wa CCM ambao wengi wao ni mitindio wa ubongo!
Kwani sasa wewe unatakaje... ametengua hujapenda, alimteua hukupenda afanye nini.?Hapa wasimpenda mama wanashangilia,kaonyesha udhaifu sana
Ila na uhakika kwa kiasi fulani kajifunza kitu.Mama anayumbishwa sana haiwezekani apelekewe majina naye asaini tu kuna shida mahali kwenye recruitment team yake...
Hakuna mdini ila penye haki ionekane haki mm si muislamu ila ninapoona kuna sehemu inafanyika dhuluma lazima isemwe hakuna haki ya 80% to 20% hata kidogo tena kwa nyakati hizi ambazo wote ni wasomi rabda wangesema hawa hawajasoma hapo sawa lakini wamesoma nini kinazuia sasa?Acheni udini jamani.
Mlitaka Mh. Samia ateuwe waislaam tupu nfo mfurahi
Waraka upi tena??Anaogopa waraka wa kila weekend
Kweli kabisa.Tanzania kuna fitna na majungu Sana. Yaani unatengenezewa kashfa mpaka watu wanaamini ni kweli. Kumbe chuki binafsi tu. Mimi nilishafanyiwa fitna, nikatengenezewa chuki ambayo ilisababisha Mimi kupoteza mali yangu yote. Mpaka SASA imeathiri hali yangu ya uchumi na maisha.
WATU WAELEWE RAISI NI TAASIS. HAWEZ KUFANYA KAZI KWA MIHEMKO AMA TAARIFA ZA MITANDAONI. MH. RAISI ANA TAARIFA SAHIHI KUMUHUSU DOTTO KULIKO MTU YEYOTE YULE. RAISI HAWEZ PANGIWA KUFANYA TEUZI ZAKE NA WHISTLE BLOWERS.
Ingia masijala angalia kipindi cha JK wakina nani walikuwa wanatoa waraka kila wikiWaraka upi tena??
Kabisaaa....Matarajio amerudi TPDC amesikia kilio chenu ndugu zangu JF idumu milele
Mchembe alikuwa Nani mpaka akaweza kuficha kifo cha Rais wa nchiMchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Amtafutie UDas utamfaa zaidi apambane huko kwanza TPDC ni kampuni kubwa yenye kubeba interest za nchi sio nafasi za ukada....jamaa anaenda kupambana na kampuni kubwa kama TOTAL, EXXON, BP , SHELL ambayo yameniaamarusha.Mkurugenzi wa TPDC ni nafasi kubwa na nyeti sana. Mteule hakustahili hata unaibu ukurugenzi. Siasa zisitutumbukize shimoni.
Kwani Erick Hamis amesoma nini baada ya degree ya kwanza? Najua degree yake ya kwanza ni Sociology ila huenda alijiendeleza na degree nyingine maana amekuwa pia banker na insurer kwa muda kabla ya mambo ya usafiri wa majini.Bandari pia inataka mkurugenzi ambaye anajua masuala ya bandari na biashara za meli.
Hii nayo ni sekta nyeti na inahusika sehemu kubwa kuingiza pato la taifa.
Ukiambiwa uweke ushahidi hapa ni Jambazi utaweza au utaleta link za twitter!!JAMBAZ
one of mafia chato member under a dead jiwe empire
Huyu daktari nina wasiwasi nae sana, kama nakosea Mungu anisamehe. Kwanza najiuliza alikuwa nani kabla hajawa daktari wa Rais?Mchembe alikuwa Nani mpka akaweza kuficha kifo cha rais wa nchi
Kutoka Ikulu kwenda pale Samora kusoma gazeti unaita kupanda cheo?Msigwa kapandishwa cheo. Hongera!
Mh. Rais wangu Samia Suluhu Hassan. Tunakuombea Mungu akuwezeshe kupitia hao wateuliwa unaoletewa kwanza. Kuwa makini mno utafichiwa watu wa kukuangusha. Kuna watakaotaka kukuangusha wakati sisi wananchi tunakuaminia na kukuombea.Ameshatenguliwa
View attachment 1743830