Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Hapa Bi mkubwa kachemka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mataragio hakutumbuliwa na Magufuli muda wote huo, basi ujue alikuwa ni mtu quality! Magufuli alikuwa ni mwepesi kufanya maamuzi, ila akishatulia na kufanya analysis akiona mtu aliyemtumbua alikuwa hana kosa basi alikuwa akimteua tena sehemu nyingine. Mataragio hakutumbuliwa hata kwa kesi moja yoyote ya harakaharaka!!

Nyie binadamu mnaoomba CV za watu hivi huwa mnaenda kuzifanyia nini?Msaada tafadhali unaweza kuweka link tukatazama CV yake huyu Mkurugenzi mpya?
Hana experience na hutaki kumpa kazi ili apate experience! Sasa experience atapata wapi na lini?Sitaki kuamini kama huyu ndo mbadala wa Mataragio pale TPDC
Kumbuka hawa ni Viongozi wa Uma sio wa rais so kama wananchi hawamtaki au wanamshuku mtu... lazima ifanyike au mnadhani viongozi wana tu favour wananchi hata tuwaamini kila wanachofanya!Tanzania kuna fitna na majungu Sana. Yaani unatengenezewa kashfa mpaka watu wanaamini ni kweli. Kumbe chuki binafsi tu. Mimi nilishafanyiwa fitna, nikatengenezewa chuki ambayo ilisababisha Mimi kupoteza mali yangu yote. Mpaka SASA imeathiri hali yangu ya uchumi na maisha.
WATU WAELEWE RAISI NI TAASIS. HAWEZ KUFANYA KAZI KWA MIHEMKO AMA TAARIFA ZA MITANDAONI. MH. RAISI ANA TAARIFA SAHIHI KUMUHUSU DOTTO KULIKO MTU YEYOTE YULE. RAISI HAWEZ PANGIWA KUFANYA TEUZI ZAKE NA WHISTLE BLOWERS.

Hawa Wakurugenzi wa Mashirika ya umma inabidi waanxe kuomba kazi na kufanyiwa usaili.Au majina yawe yanapendekezwa na Bunge.
Amefanya kitu.Kweli sijaona kipya kafanya reshuffle tu.
Bandiko langu limejificha kidogoKapilimbi alipo hudumu ni sawa na TPDC?
Your hero not me shubbbbbbat zakoWaliomwambia Rais amfukuze Doto James mlale unono sio kwamba namkubali jamaa ila nazikubali strategies za Rais SSH
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote [emoji7][emoji1241][emoji123]
Rest well our hero President John Pombe Magufuli [emoji885]
Hotuba zake za mwanzo tu niliona mama atakuwa shida, alipomtoa Jaffo TAMISEMI ndio kabisa.
Hivi anafahamu nishati ni priority number 1 ya national security duniani. Huu utani wake mmbaya sana.
Yes,mwanzo alikua msemaji mkuu,akapandishwa cheo kuwa katibu mkuu baada ya uchaguzi wa 2020,lakini akaambiwa ataendelea kuwa msemaji mkuuKwa hiyo alikuwa ni Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu msemaji Mkuu wa Serikali?
Unadhani kutakuwa na jipya gani? ndio maana sisi wengine hatutamani ccm iendelee kuwepo mamlakani kingekuwa chama kingine angalau unaweza kufikiri tofauti Ila kwa ccm usipoteze muda wako unaweza kupata kiharusi maana unapotarajia kifanyike kitu cha maana kwa maslahi ya Nchi watu wanafanya kwa maslahi ya ccmSubiri uchunguzi ukamilike.
Watakuwa wanahojiwa kwenye kamati husika. Msukuma atahusika kuhoji kwenye kitengo cha nyungu.Wabunge wenyewe wakina msukuma unategemea nini??
Huu ndio ukweli mzeeKama utakuwa huru na wa haki.
Usiiamini sana ccm katika gwanda lake la kijani na njano.
Mama kaingizwa mkenge.. nina imani ujumbe utamfikia.Huyu kijana hapana.
Uzoefu wake mkubwa ni UVCCM!
Hili ni furushi la samadi ya mbolea mbichi.
Zama hizi mpya, bado mama Samia anakwenda kuokoteza makada wa CCM ambao wengi wao ni mitindio wa ubongo!