PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini

PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
IMG-20250315-WA0097.jpg
IMG-20250315-WA0096.jpg
IMG-20250315-WA0103.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250315-WA0101(1).jpg
    IMG-20250315-WA0101(1).jpg
    244.4 KB · Views: 44
  • IMG-20250315-WA0094.jpg
    IMG-20250315-WA0094.jpg
    225.6 KB · Views: 37
  • IMG-20250315-WA0101.jpg
    IMG-20250315-WA0101.jpg
    244.4 KB · Views: 32
  • IMG-20250315-WA0100.jpg
    IMG-20250315-WA0100.jpg
    249.2 KB · Views: 33
  • IMG-20250315-WA0102.jpg
    IMG-20250315-WA0102.jpg
    163.7 KB · Views: 36
  • IMG-20250315-WA0095.jpg
    IMG-20250315-WA0095.jpg
    141.7 KB · Views: 33
  • IMG-20250315-WA0093.jpg
    IMG-20250315-WA0093.jpg
    135.6 KB · Views: 45
  • IMG-20250315-WA0104.jpg
    IMG-20250315-WA0104.jpg
    339.9 KB · Views: 40
  • IMG-20250315-WA0099.jpg
    IMG-20250315-WA0099.jpg
    252.7 KB · Views: 38
  • IMG-20250315-WA0098.jpg
    IMG-20250315-WA0098.jpg
    128.4 KB · Views: 39
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
Ukarimu kwa vitendo,
well done &thank you Dr.Samia Suluhu Hassan,
Mwenyezi Mungu Akuzidishie💪👊🌹
 
Kichawa, una pwenti. Kiakili, umenoa haswa. Kumbuka huyo muungu wenu ni binadamu tena mke wa mtu
Gentleman,
huna haja ya kumkufuru Mungu,
Dr Samia Suluhu Hassan ndie mbeba maono ya waTanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Ndie pekee mwenye kibali, Neema na Baraka za Mungu kuiongoza Tanzania kuelekea 2030.

Huna haja ya kubabaika kuhusu jambo wazi kama hilo gentleman 🐒
 
Eti ndiye pekee mwenye kibali! Unamsingizia Mungu bure. By the way hiyo October mbali sana, unaweza kuingia kwenye chumba cha kupigia kura na usilikute jina lake kwenye fomu ya uchaguzi. Weka akiba ya maneno, ila kama unaongozwa na uchawa, endelea kuropoka.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
Kwa uisilamu gani alionao? Sana sana kinachoendelea hapo ni kampeni kwa ajili ya kutakatisha ushindi wa wizi uchaguzi wa mwaka huu. Wajinga tu ndio wanaweza kuamini hapo ni msukumo wa kiimani na sio futari ya kisiasa.
 
Gentleman,
huna haja ya kumkufuru Mungu,
Dr Samia Suluhu Hassan ndie mbeba maono ya waTanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Ndie pekee mweSenznye kibali, Neema na Baraka za Mungu kuiongoza Tanzania kuelekea 2030.

Huna haja ya kubabaika kuhusu jambo wazi kama hilo gentleman 🐒
We ndo unakufuru. Anabeba maono gani zaidi ya kuwa pale kama figure ceremonially? Hata Nyerere au Karume, pamoja na weledi wao, hawakuwahi wala kukubali kuitwa wabeba maono. Hata mitume hawakuwahi. Elewa kinachowasumbua ni uchawa na uzwazwa ashakum mwanangu.
 
Back
Top Bottom