PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini

PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Duh..bora angewafuturisha wale wasiyojiweza

Ova
 
We ndo unakufuru. Anabeba maono gani zaidi ya kuwa pale kama figure ceremonially? Hata Nyerere au Karume, pamoja na weledi wao, hawakuwahi wala kukubali kuitwa wabeba maono. Hata mitume hawakuwahi. Elewa kinachowasumbua ni uchawa na uzwazwa ashakum mwanangu.
Gentleman,
chuki binafsi itakuhangaisha sana dhidi ya ukweli bayana kuhusu dhamira na nia njema ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwa waTanzania,

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu, yupo madarakani, na kwa Neema na Baraka za Mungu ataendelea kua mtawala na kiongozi wa Taifa letu Tanzania mpaka pale waTanzania watakaporidhika.

Tafadhali,
mshirikishe na Mwenyekiti wa chama chako kuhusu hilo gentleman 🐒
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
Chifu Hangaya....

Nyota ya taifa letu inayotuangazia na KUTUHESHIMISHA.....

She is a comforter of our beloved nation!

Amelikuta daraja la KAGONGO -BUSISI likiwa chini ya 30%....sasa hivi linakaribia KUKAMILIKA.....

Amewatua ndio akinamama wa nchi kwa mafanikio makubwa sana !

Ewe Mwenyezi Mungu tuhifadhie na utulindie mh.Rais wetu Samia Suluhu Hassan ,aaaaamin aaaaamin !!

#Serikali mbili za JMT milele dumu!!
 
Ukarimu kwa vitendo,
well done &thank you Dr.Samia Suluhu Hassan,
Mwenyezi Mungu Akuzidishie💪👊🌹

Neno la Mungu linasema kuwa ukimsaidia mtu au ukimkirimu mtu fanya kwa siri ili iwe sadaka kwa Mungu wako, lakini ukifanya kwa matangazo hakuna thawabu yoyote utaipata kwa sababu umekwishapokea sifa kutoka kwa uliowatangazia, na hizo sifa za kutoka kwa hao uliowatangazia ndiyo malipo yako.

Kwenye hili kwa kadiri ya nebo la Mungu, hakuna thawabu.
 
Gentleman,
chuki binafsi itakuhangaisha sana dhidi ya ukweli bayana kuhusu dhamira na nia njema ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwa waTanzania,

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu, yupo madarakani, na kwa Neema na Baraka za Mungu ataendelea kua mtawala na kiongozi wa Taifa letu Tanzania mpaka pale waTanzania watakaporidhika.

Tafadhali,
mshirikishe na Mwenyekiti wa chama chako kuhusu hilo gentleman 🐒
Aaamin aaaaamin , gentleman!
 
kwa nn asiwaandalie watoto yatima,wajane, wazee wasiojiweza nk badala ya kuwaandalia watu wanaojiweza
Wanaojiweza nao wanafunga na kufurutu.....

Iftar ni UPENDO....

Pale Ikulu miaka yote wanafuturishwa makundi ya hali tofauti....

Amka mkuu wangu!
 
Eti ndiye pekee mwenye kibali! Unamsingizia Mungu bure. By the way hiyo October mbali sana, unaweza kuingia kwenye chumba cha kupigia kura na usilikute jina lake kwenye fomu ya uchaguzi. Weka akiba ya maneno, ila kama unaongozwa na uchawa, endelea kuropoka.
wapiga ramli na washirikina kama ninyi mlio na imani haba ndio mnaweza kua hamna hakika na kesho yenu,

but wale wenye Imani thabiti kwa Mungu tuna uhakika ya kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mbeba maono ya waTanzania mpaka 2030.
Hakuna kubabaika kwenye hilo gentleman 🐒
 
Sawa....

Maneno ya Mungu yako mengi na kupitia vitabu vingi....

Nalo liko neno la Mungu lisemalo "....kila kitu huangaliwa NIA YAKE moyoni.....".

Nia za watu nitazijuaje mimi mwanadamu dhaifu ?!!
 
wapiga ramli na washirikina kama ninyi mlio na imani haba ndio mnaweza kua hamna hakika na kesho yenu,

but wale wenye Imani thabiti kwa Mungu tuna uhakika ya kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan ndio mbeba maono ya waTanzania mpaka 2030.
Hakuna kubabaika kwenye hilo gentleman 🐒
Maneno kuntu haswa.....
 
Neno la Mungu linasema kuwa ukimsaidia mtu au ukimkirimu mtu fanya kwa siri ili iwe sadaka kwa Mungu wako, lakini ukifanya kwa matangazo hakuna thawabu yoyote utaipata kwa sababu umekwishapokea sifa kutoka kwa uliowatangazia, na hizo sifa za kutoka kwa hao uliowatangazia ndiyo malipo yako.

Kwenye hili kwa kadiri ya nebo la Mungu, hakuna thawabu.
Hakuna haja ya kificho gentleman kwenye mambo yenye nia na dhamira njema. Kipimo cha thawabu anazotoa Mungu kwa waja wake,anacho yeye mwenywe. Hakuna sababu hata moja kwa wewe mmatumbi wa hapo goba kumpangia Mungu.


hata hivyo,
Rais ni kiongozi wa waTanzania wote, na ikulu ni mali ya wananchi na waTanzania wote. Kuna haja gani kuficha jambo la kheri katika mwezi mtukufu wa ramadhani na kwaresma?

kwanini ufuturu au ufuturishe watu kwa siri gentleman?, si uchoyo huo?🐒
 
Hakuna haja ya kificho gentleman kwenye mambo yenye nia na dhamira njema. Kipimo cha thawabu anazotoa Mungu kwa waja wake,anacho yeye. Hakuna sababu hata moja kwa wewe gentleman kumpangia Mungu.


hata hivyo,
Rais ni kiongozi wa waTanzania wote, na ikulu ni mali ya wananchi na waTanzania wote. Kuna haja gani kuficha jambo la kheri katika mwezi mtukufu wa ramadhani na kwaresma?

kwanini ufuturu au ufuturishe watu kwa siri gentleman?, si uchoyo huo?🐒
Exquisite gentleman !
 
sure gentleman,
mzaha na kutokuchukua hatua kwa wakati muafaka kunawagharimu sasa 🐒
Hakika mkuu wangu....

Mzaha wa akina Tundu Lissu kupinga ujenzi wa bwawa la ufuaji umeme rufiji ulipelekwa nao Ujerumani na wakahusishwa marafiki zao hao yaani ile kamati ya bunge ya CDU pale Bundestag.....

Tungewasikiliza....leo tusingekuwa na megawati 2215 kuingizwa gridi ya taifa......
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
Naomba Ndugai atafutwe afutirishwe na labda aitwe kambini....asamehewe kieiasa sababu effects zake ni za mbele azma yenu kuchota na kuuza nchi itakuwa imeshatimia ki unafiki mtafuteni ingawa jimbo lake limeshanadiwa kwa somalis wa Dodoma kazi sanaaa.....na Kombe wanachezesha huko.....naumiaa
 
Back
Top Bottom