The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mchagueni na kuendelea kukufuru kwa kumtukuza afe kama aliyemtengeneza yaani Magufuli ambaye naye alikuwa mpenda sifa na zikamponza. Utakumbuka maneno haya atakapofuata njia hiyo hiyo.Gentleman,
chuki binafsi itakuhangaisha sana dhidi ya ukweli bayana kuhusu dhamira na nia njema ya Dr.Samia Suluhu Hassan kwa waTanzania,
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu, yupo madarakani, na kwa Neema na Baraka za Mungu ataendelea kua mtawala na kiongozi wa Taifa letu Tanzania mpaka pale waTanzania watakaporidhika.
Tafadhali,
mshirikishe na Mwenyekiti wa chama chako kuhusu hilo gentleman 🐒
