Amani ya mashariki ya congo ni muhimu sana aseee kwa uchumi wa Tz na Afrika mashariki. Ama sivyo tukubali kumuachia Rwanda ajimegee CONGO anavyotakaNchi imekuwa na mambo ya hovyo sana.Hivyo vikao vina umuhimu gani kwa taifa? Kuna mambo ya muhimu zaidi kushughulikia ndani ya nchi kuliko kupoteza mabilioni ya watanzania kwa mambo yasiyo na tija.
Naunga mkono hoja.Nchi imekuwa na mambo ya hovyo sana.Hivyo vikao vina umuhimu gani kwa taifa? Kuna mambo ya muhimu zaidi kushughulikia ndani ya nchi kuliko kupoteza mabilioni ya watanzania kwa mambo yasiyo na tija.
Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei, 2023.
Mkutano huo utajadili hali ya Usalama Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).