Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi haelewi hata yuko wapi hapo.Swala la kwanza, Mwinyi anajua alikuwa anaongea na nani 🤔 🤔 🤔
Ni sawa kabisa, nami nimejiuliza kuhusu uwezo wake wa sasa juu ya utambuzi na uchakataji - uchambuzi wa kina na yakinifu wa mambo.Swala la kwanza, Mwinyi anajua alikuwa anaongea na nani 🤔 🤔 🤔
[emoji23][emoji23]daah mkuu anajua sema siku hizi anasahau sahau umri nao unaongeaSwala la kwanza, Mwinyi anajua alikuwa anaongea na nani [emoji848] [emoji848] [emoji848]
anaongea na Rais wake wa awamu ya sita yaani mamaSwala la kwanza, Mwinyi anajua alikuwa anaongea na nani 🤔 🤔 🤔
Uzuri wake akikwama huwa anaulizaMwinyi haelewi hata yuko wapi hapo.
Atakuwa katumwa na mwanaye .... anajiandaa na 2030!!Mwinyi haelewi hata yuko wapi hapo.
Yeye mwinyi anajua bado yupo chato ila bodyguard wake atamjulishaSwala la kwanza, Mwinyi anajua alikuwa anaongea na nani [emoji848] [emoji848] [emoji848]
Mwinyi amempotezea muda wake Rais Samia kwani Mzee sidhani kama ana uwezo wa kudadavua siasa za leo nchini! Sana sana Mama anafurahia porojo!Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
Kesho atakuwa na mazungumzo na JK. Ya leo kiini machoMwinyi amempotezea muda wake Rais Samia kwani Mzee sidhani kama ana uwezo wa kudadavua siasa za leo nchini! Sana sana Mama anafurahia porojo!
Daa hapo Msigwa ametufunga kamba!Mstaafu Dr Ally Hassan Mwinyi? Naye ana PhD? Mchana mwema