Nashukuru mkuu kwa kwa kunielewesha.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR Bado hai make sense. Hakuna nchi inayoitwa Aamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Bali kuna nchi inaitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ambapo nchi mbili, Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar huru ziliungana kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bado haujataka kufikiria upande wa pili. Mimi sio chawa kama kina Lucas Mwashambwa. Nimeandika hivo kama mtanzania tuAkili za uchawa utaziona tu! Unatetea mavi kwa vile na wewe kichwani una mavi na funza tu!
Umeulizwa utakwepaje vikwazo ambavyo Urusi imewekewa na Marekani kama unataka kufanya biashara na Urusi?
Wewe unajibu Tanzania hatuna vikwazo! Stupid!
Angalau angejibu ifuatavyo, simple! Tutaangalia maeneo ambayo Urusi haijawekewa vikwazo and see the possibility of making trade with Russia in those fields, if are within our interests!
But it could the opposite 🤔. Maybe us, the citizens are the problem, that we always find untraceble faults in every of her speeches.The fact that her stooges have to come up with explanations for all that she says, speaks a lot about her intellect.
Tanzania Bara na ZanzibarModerators naomba rekebisha kichwa cha mada. Ni Tanganyika na Zanzibar sio Tanzania na Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya utekelezaji wa ratiba yake ngumu huko nchini Urusi aliulizwa swali na moja ya muendeshaji wa majadiliano (moderator) kwamba;
Tanzania inataka kupanua wigo wa biashara kati ya Tanzania na Urusi, wakati huohuo kuna vikwazo hasa vya kiuchumi alivyowekewa Urusi kimataifa. Swali la muendesha majadiliano lilikuwa;
"ni kwa namna gani Serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaweza kukwepa na kufanikisha lengo la kuongeza ukubwa na ufanisi wa mahusiano ya kiuchumi kati ya Urusi na Tanzania ikiwa kuna vikwazo (restrictions) tayari ambavyo amewekewa Urusi vinavyomzuia kufanya shughuli za kiuchumi na mataifa mengine kwa uhuru?".
Rais Samia Suluhu Hassan alijibu "Tanzania haiko kwenye vikwazo" akimaanisha kwamba Tanzania haijawekewa vikwazo vyovyote.
Kwa kawaida hili jibu la Rais Samia Suluhu Hassan halikujibu swali la muendesha majadiliano moja kwa moja, bali limejibu swali la muendesha majadiliano kwa namna nyingine.
Ni jibu ambalo limeonyesha ukomavu wa Rais wa Tanzania kidiplomasia na katika siasa za ulimwengu (Geopolitics).
Kama Rais wa nchi (Head of State) kuna maswali ya kujibu moja kwa moja na kuna maswali ya kujibu kwa namna tofauti.
Lile swali la muendesha majadiliano lilikuwa la hatari na mtego kwa diplomasia ya nchi yetu na Rais wa Tanzania 🇹🇿 aliweza kulijibu kiufasaha zaidi kulingana na nafasi yake yeye kama Rais wa nchi.
Leo raia wa kawaida nikiulizwa lile swali nitalijibu kama nafanya mtihani wa darasani, lakini to a diplomat ni swali risk sana na lenye mtego mkubwa.
Kusema ukweli Rais ameonyesha ukomavu kwenye hilo.
Na Rais yeyote kuanzia Vladimir Putin, Donald Trump na wengineo lazima wangekwepa kujibu lile swali moja kwa moja.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
#uzalendokwanza🇹🇿
Uchawa uchawa kila sehemu mpaka mtu anaandka ujingaRais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya utekelezaji wa ratiba yake ngumu huko nchini Urusi aliulizwa swali na moja ya muendeshaji wa majadiliano (moderator) kwamba;