Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Wanataka kuliingiza taifa kwenye gharama za kujitakia😲😲😲😲😲,Mpango sijawahi Kumuelewa!
 
Kwa mama Samia mmegonga mwamba kwani yeye hana mpango na wauza fitina na umbea kama gang lenu mlivyo lelewa
Nani anataka umbea? Umbea achia wapuuzi flani...yani si ambacho hatutaki wauza nchi kwa vipande vya fedha. Tunataka wazalendo basi...yani watu watakao hakikisha hamna ma escrow, kagoda, hamna kuhujumu umeme mpaka tuwashe majenereta, hamna ujambazi na uvamizi wa mabenki..yani hayo kwetu wanyonge ndio priority. Umbea hautanifanya niishi ila hayo yatafanya maisha yangu yawe bora zaidi.
 
PM awe Dr Doroth Gwajima uone moto utakavyowaka huko Serikalini, watakoma hata kuomba mshahara uongezwe Mei mosi. 😀 😀 😀 😀😀
Wewe ndio katika lile kundi la watu wasioijua njaa,🤲eti tusiombe kuongezewa mishahara.Nyie ipo siku mtaijua njaa Kwa Uwezo Wa Muumba Mbingu na Ardhi.
 
kusema na kutenda ni different stories. anyway mm mwenye nina matumaini makubwa kwa jamaa
So long hajateuwa watu wa pre-2015, mimi na amani kabisa. Yani hapa napata moja moto moja baridi. Mtandao wa pre 2015 ulikuwa unatafuna hela hadi za vizazi vijavyo...wanasiasa wote wanaiba ila wale walikuwa sio binadamu wa kawaida. Hawana uchungu na taifa lao hata chembe, twiga anapanda ndege? Tembo wanaisha? Ujambazi kila kona? Need say more?
 
Tupo bunge la bajeti na Dk Mpango ameteuliwa VP, nani atawasilisha bajeti? Naibu wizara ya fedha Bi Mwanaidi Hamis ataweza? Na je Waziri mpya atakuwa na wakati mgumu wa kuipitia bajeti ambayo mpaka sasa naamini imekamilika kwa asilimia 100.
 
Raisi bajeti ya maendeleo asilimia 80 baada ya kutoa pesa za miradi iliyopo iende kufungua chumi za maeneo yaliyosahaulika Tanganyika na Zanzibar kufungua chumi za maendeleo.za maendelei sahaulika uliza Zanzibar na Tanganyika maeneo sahaulika kufungua kiuchumi mkubwa ni yepi? Na nini kifanyike usuishie tu kupokea report .Fukuza huyo mshauri kama hajui nini kifnyike hafai huyo
 
Wasukuma mlitegemea mtapata VP eee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Imekula kwenu, na kumbuka pale BOT panachunguzwa transaction zote kuanzia January, yule Msukuma mwenzenu wa hazina muandalieni ng'ombe wa kuchunga huko
haha nimecheka ila sio kwa mazuri. sometimes najiuliza.. hivi mzee alikuwa halijui hili?
from BOT,TPA,Air tz..?
 
yes na si kundi moja. kina lingine la 2015. hili nalo walikuja na style yao ya upigaji huku wakijivika kivuli cha uzalendo.
nadhan jana na juzi tumeona baadhi. but my question is mzee hakuwajua hawa?
 
Which is which, tuchukue la nani na tuache la nani. Za kuambiwa changanya na kwako. Mi nakula mlo mmoja kwa siku na maji ya kandoro na wanzangu 14mil alafu mtu aniambie tunatakiwa tukatoe misaada Canada!!! Dah mjomba alikuwa motivator sana.
Nimecheka sana kwamba uncle alikuwa motivator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…