Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Tushawastukia nyinyi sukuma gang sasa hivi ndiyo mmeanza kuomba msamaha kwa wa Tanzania baada ya kuona mama Samia kaingia madarakani.

Kwanini hamkuomba huo msamaha wakati jiwe yupo madarakani?
Tushawajua nyinyi ni kundi baya sana hapa nchini na mama Samia ashawajua.

Safari hii mmekula za shingo na usoni kote ni mafiga tu
 
Naona unaandika unatetemeka vibaya kuona gang lenu limepewa red card
 
haha nimecheka ila sio kwa mazuri. sometimes najiuliza.. hivi mzee alikuwa halijui hili?
from BOT,TPA,Air tz..?
Labda walitegea yupo Chato kajificha na Corona wakaanza kupiga..

Ya ATCL ni obvious yeye ndiye alichukua jukumu la kufufua shirika tena kwa fedha nyingi ambazo hazikuwa na auditing. Hasingeweza kumruhusu CAG atangaze hasara
 
Mwache Mungu aitwe Mungu
 
Si mlikuwa anashangilia kama mazuzu mlipokuwa mnaambiwa kuwa sirikale hakuna ufisadi ?
sorry usinijumuishe kwenye makundi ya siasa.
"si mlikuwa".
niko mm kama mm,no sides, no politics ,no interests, just a concerned citizen.
nafikiri ujumbe wako unahusu zaid kundi fulani.

binafsi nimeuliza mzee hakuyajua haya? au alikausha tu?
 
Mpango wa suluhu ni pombe....
huwezi ukaanda mipango ya kusuluhisha watu bila pombe
 
Labda walitegea yupo Chato kajificha na Corona wakaanza kupiga..

Ya ATCL ni obvious yeye ndiye alichukua jukumu la kufufua shirika tena kwa fedha nyingi ambazo hazikuwa na auditing. Hasingeweza kumruhusu CAG atangaze hasara
kuwa chato si sababu ya yeye kuto kujua yanayoendelea. he had eyes and ears everywhere. so i dismiss kuwa hakujua.

speaking about atcl, alifufua ndio but kama alijua haya madudu yapo why alikaa kimya? akikuwa anamlinda mtu or his legacy?
 
Mzee kuhusu Chato I was just kidding.. After all sio uwizi wote mtu anaweza kuuzuia au kuujua.. Yawezekana aliwaachia waibe au hakujua kama wanaiba, of which mimi na wewe hakuna anayejua..

Kuhusu ATCL nishakwambia, asingeruhusu hayo yatangazwe. Hakuna ambaye anamlinda kwa hilo bali kulinda legacy yake na ya ATCL kwa ujumla..
 
Hivi ilikuwa ni adabu Prof. Kitila kumshika Dr. Mpango our new VP kichwani? Naona amepitiliza. Kwanza kiumri VP ni mkubwa kwa prof Kitila. Nadhani haikua adabu
 
30 March 2021
Dodoma, Tanzania

TANZANIAN MPs APPROVE PHILIP MPANGO AS NEW VICE PRESIDENT

Earlier today ,Tanzania's President H.E Samia Suluhu Hassan picks Philip Isdor Mpango for vice president . The Tanzanian constitution demands the vice president't name to be presented before the Union Parliament for approval. He will be sworn in tomorrow by the Chief Justice of Tanzania to become officially the Vice President of Tanzania.

Photo: Philip Isdor Mpango​

Who is Dr. Philip Mpango ?

Dr. Philip Mpango is the Minister for Finance and Planning of the United Republic of Tanzania, and has been in office since November 2015.

Dr. Mpango previously held positions as the Acting Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA), the Executive Secretary in the President’s Office (Planning Commission), the Deputy Permanent Secretary at the Ministry of Finance & Economic Affairs, the Personal Assistant to the President (Economic Affairs), the Head of the President’s Economic Advisory Unit, Senior Economist for the World Bank, Visiting Lecturer in Public Economics, Collaborative Masters program for Anglo-phone Africa, AERC, Nairobi-Kenya, and Lecturer, Economics Department University of Dar es Salaam.

Some of his notable publications include: Macro-micro Linkages in the Fight Against Poverty: Missing Links and Enabling Bridges (2004); Some Reflections on Semi-privatization of Customs Administration in Tanzania (1996), and a chapter on Spatial Dimensions of Economic Growth published in Tanzania Sustaining and Sharing Growth.

Dr. Mpango was also the Principal Supervisor for the preparation of The National Five Year Development Plan 2011/12 – 2015/
Source : Philip Isdor Mpango
 
sorry usinijumuishe kwenye makundi ya siasa.
"si mlikuwa".
niko mm kama mm,no sides, no politics ,no interests, just a concerned citizen.
nafikiri ujumbe wako unahusu zaid kundi fulani.

binafsi nimeuliza mzee hakuyajua haya? au alikausha tu?
Pole mkuu
 
Hivi ilikuwa ni adabu Prof. Kitila kumshika Dr. Mpango our new VP kichwani? Naona amepitiliza. Kwanza kiumri VP ni mkubwa kwa prof Kitila. Nadhani haikua adabu
Hapo alikuwa anajiandalia kanafasi ka upendeleo
 
kuwa chato si sababu ya yeye kuto kujua yanayoendelea. he had eyes and ears everywhere. so i dismiss kuwa hakujua.

speaking about atcl, alifufua ndio but kama alijua haya madudu yapo why alikaa kimya? akikuwa anamlinda mtu or his legacy?
Kuna mkutano fulani yeye mwenye nchi alitujulisha kupitia mkutano huo kuwa tayari ATCL ilishaanza kupata faida, nipo tayari kukosolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…