Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

Uchawa na upambe umeharibu fikra za watanzania wengi tena kibaya zaidi wale walio katika rika la kuzalisha mali.
Vijana wanakua insipired na watu wa hovyo kama kina baba levo sijui mwijaku kuliko watu wa maana katika jamii, vijana wanaamini katika uchawa na dili kuliko kujituma.

Watanzania wanapenda sana kujadili petty issues kuliko mambo ya maana.
 
Anarandaranda
 
Kuwa na adabu we malaya mi babako... tuheshimiane kama ulivyomheshimu yule nabii wa uongo... masihi Dajal wa Tanganyika alias Jiwe.
Unapanic nini sasa dada?
 
Wewe mwenyewe hapo inaonyesha ni chawa, utawaeleza nini waTanzania zaidi ya kuokoteza makombo ujaze tumbo!
 
Wewe mwenyewe hapo inaonyesha ni chawa, utawaeleza nini waTanzania zaidi ya kuokoteza makombo ujaze tumbo!
Chawa wewe uliyekua ukiishi kwa makombo ya yule dhalimu wa chato, najua kisu kimegusa mfupa pole sana.
 
Chawa wewe uliyekua ukiishi kwa makombo ya yule dhalimu wa chato, najua kisu kimegusa mfupa pole sana.
Hili jina unalotumia umeliazima kwa mwenyewe au imekuwaje?

Hebu kwanza kabla sijakutafutia chai yako nijihakikishie mwenyewe kwamba siyo yule ninayemfahamu humu JF.
 
Safiri mama nenda katengeneze mipango...utulete

Ova
 
Hili jina unalotumia umeliazima kwa mwenyewe au imekuwaje?

Hebu kwanza kabla sijakutafutia chai yako nijihakikishie mwenyewe kwamba siyo yule ninayemfahamu humu JF.
Chai kampe mamako na wajane wenzio mlioachwa na dhalimu wa chato.
 
Vijana wanakua insipired na watu wa hovyo kama kina baba levo sijui mwijaku kuliko watu wa maana katika jamii, vijana wanaamini katika uchawa na dili kuliko kujituma.

Watanzania wanapenda sana kujadili petty issues kuliko mambo ya maana.
Si unasikia radio zetu kuanzia asubuhi mpk jioni ni----

Ova
 
Si unasikia radio zetu kuanzia asubuhi mpk jioni ni----

Ova
Na hichi ndio serikali zote za kijamaa zimejaribu kupandikiza miaka nenda rudi, we angalia leo hii watu wako radhi kulipia elf 1 ili kusoma vitu vya kipuuzi kwa Mange lakini hawawezi lipia subscription hata ya dola 2 kwa websites zenye tija kwa maisha yao.
 
Yaani mngelijua, izo mask usoni hazisaidii chochote (scientifical fact)
 
Uwekezaji umeongezeka kwenye nini? Naomba mfano
Wamekuja watu kutoka Oman wapo Njombe, nenda Arusha katazame ongezeko la utalii. Nenda Pwani utazame viwanda vinavyoibuka kila kukicha. Tatizo lako masikio unayategesha kusikia habari mbaya tu. Wanakuja wageni wanatajirika mswahili anachojua ni kutafuta sababu ya kukosoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…