Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.

Updates;

Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.

Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano yanaendelea,

Baraza.jpg
 
Nataka nione kama hawa jamaa wataendeleza juhudi za serikali kuhamia Dodoma, naona dalili kama mambo yatakuwa tofauti.
 
Maigizo kama maigizo mengine. Ni kujali tu sasa hivi maisha ya familia yako tu tena nuclear family.
 
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchavhe ujao ataongoza kikao cha baraza la mawaziri.

Updates;

Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameshaingia ukumbini.
Makamo wa kwanza wa Rais yeye hajaingia au siyo mjumbe?
 
Back
Top Bottom