evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Katiba imemtamka yeye tu endapo inapotokea Rais amefariki.Ni tafsiri mbovu hiyo na ni upindishaji wa katiba. Kama serikali yote ilikufa na Magufuli, basi hata Samia Suluhu asingekuwa Makamu wa rais tena.
Wengine outomaticaly nafasi zao zinaceaze Mara tu Rais mteule anapoapishwa mbona hili suala lipo wazi na la kikatiba au labda Kama umezoea uvunjaji wa katiba aliokuwa anafanya marehemu jiwe, au wewe ni mmoja wa hao mawaziri wa jiwe ambao Sasa kikatiba sio Tena waziri, jiandae tu unaweza kuteuliwa Tena au usiteuliwe.
kwani lazima uwe waziri wewe tu kila awamu?