zed B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 958
- 1,044
Aise kweliiMembe amekosa umakamu Rais kizembe [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise kweliiMembe amekosa umakamu Rais kizembe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayaa wakianza kuumwa na kufa sisi tunaomboleza tu. Yaani watanzania sijui tupoje Ugonjwa tunachukulia poa okKikao cha baraza la mawaziri ni pigo Kwa Tundu Lisu na Chadema na ACT wazalendo wanaotangaza Tanzania kuwa ina Corona .Hakuna aliyevaa barakoa hata mmoja na wamebanana kukaa no social distance
Meseji sent kwa vyombo vyote vya habari duniani
The haugue kitu gan bhana, sisi yetu ni sala na dua tu kwa Mungu wetu wa haki muumbaji wetu awezae kujibu maombi ya waja wake na kuwapatilizia haki. Tendeni haki na acheni kuonea na kuumiza wengine.Nenda kashtaki The Haugue.
Haya kaeni mtulie muendelee na maombi, mambo ya matembezi ya amani, maandamano acheni kabisa, fanyeni maombi hivyohivyo.The haugue kitu gan bhana, sisi yetu ni sala na dua tu kwa Mungu wetu wa haki muumbaji wetu awezae kujibu maombi ya waja wake na kuwapatilizia haki. Tendeni haki na acheni kuonea na kuumiza wengine.
Umeambiwa Hakuna waziri Mkuu wala baraza la mawaziri, hivo ndivo ilivyoKwa Mujibu Wa Muongozo Uliotolewa Na TLS Leo, Yaani kwasasa hakuna Waziri Mkuu wala Baraza la Mawaziri [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Usaidizi Tafadhari
TLS wameweka na vifungu vya katiba ya Jamhuri ya Muungano ila wewe umeweka ugoro tuHawa TLS naona wanapuyanga tu!! Tatizo ukishajiona unajua sana mara zote lazima uharibu, hawa wanadhani sheria/katiba wanaijua sana kumbe wanapuyanga tu!
Mama SSH hajawahi kuwa Rais Mteule!!! Baraza linakoma pale Rais Mteule anapoapa kuwa Rais,TLS wameweka na vifungu vya katiba ya jamuhuri ya muungano ila wewe umeweka ugoro tu
Nyerere aliongoza kwa miaka 24 hizo zilikua awamu ngapi?Hawa TLS naona wanapuyanga tu!! Tatizo ukishajiona unajua sana mara zote lazima uharibu, hawa wanadhani sheria/katiba wanaijua sana kumbe wanapuyanga tu!!...
Hao ni Baraza la Wanaharakati wanapotosha wakati wanajua kabisa vifungu vya Katiba havihusiana na Rais aliyepatikana kupitia Makamu wa Rais. Vifungu hivyo vinahusiana na Rais aliyepatikana kupitia Uchaguzi Mkuu. Inasikitisha sana kama Baraza la TLS linaweza kutoa utopolo wa hali ya juu kiasi hivyo!Kwa Mujibu Wa Muongozo Uliotolewa Na TLS Leo, Yaani kwasasa hakuna Waziri Mkuu wala Baraza la Mawaziri 🤔🤔🤔🤔🤔... Usaidizi Tafadhari
Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa Samia ni Rais wa awamu ya 5? Samia ni Rais kamili na soon atapandekeza makamu, baraza anaweza kuvunja au akaendelea nalo au akalifanyia mabadiliko, kitu pekee Hawezi kugusa ni bunge ila serikali anaweza kuibadilisha.Hao ni Baraza la Wanaharakati wanapotosha wakati wanajua kabisa vifungu vya Katiba havihusiana na Rais aliyepatikana kupitia Makamu wa Rais. Vifungu hivyo vinahusiana na Rais aliyepatikana kupitia Uchaguzi Mkuu. Inasikitisha sana kama Baraza la TLS linaweza kutoa utopolo wa hali ya juu kiasi hivyo!
Mkuu wewe umeleta issue nyingine ya Awamu kabla ya kuanza kubisha anza kwanza kujua maana ya Awamu kwa mujibu wa sheria za TZ.Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa samia ni rais wa awamu ya 5? Samia ni rais kamili na soon atapandekeza makamu , baraza anaweza kuvunja au akaendelea nalo au akalifanyia mabadiliko, kitu pekee Hawezi kugusa ni bunge ila serikali anaweza kuibadilisha.
Kuhusu baraza kulivunja, mimi nadhani ni suala la muda tu. Kila zama na kitabu chake bwashehe.Mama SSH hajawahi kuwa Rais Mteule!!! Baraza linakoma pale Rais Mteule anapoapa kiwa Rais,
Kama bado hujaelewa kakojoe ulale, waambie na TLS wako pia
Hakuna kifungu kinachosema moja kwa moja. Maana yake ni kwamba Rais mteule ameachiwa uwanja mpana wa kujidai! Akiamua anavunja anateua waziri mkuu upya na hivyo baraza la mawaziri kuvunjika automatically!TLS wameweka na vifungu vya katiba ya jamuhuri ya muungano ila wewe umeweka ugoro tu
Usiweke porojo tupu kama Jiwe, weka vifungu vya Katiba kupinga tamko la TLS.Hawa TLS naona wanapuyanga tu!! Tatizo ukishajiona unajua sana mara zote lazima uharibu, hawa wanadhani sheria/katiba wanaijua sana kumbe wanapuyanga tu!!
Huyo ni mataga,Jiwe aliwazoesha kuishi bila kufuata katiba wala sheria.Nyerere aliongoza kwa miaka 24 hizo zilikua awamu ngapi?
Wote bench, achana naoKwa Mujibu Wa Muongozo Uliotolewa Na TLS Leo, Yaani kwasasa hakuna Waziri Mkuu wala Baraza la Mawaziri 🤔🤔🤔🤔🤔... Usaidizi Tafadhari