Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Ile ni haki yake mpuuzi wewe

Jeuri yenu kwish wapuuzi nyie
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia katoa masharti mapya ya kurudi nchini?
Si aseme tu kanogewa kuwa huko?
 
Yap Mama achape kazi,keshasema kapikwa na aliyemtangulia.
Yes. Yeye na team yake watajua yapi mazuri ya kuyaendeleza na yapi mabaya ya kuachana nayo. Mtangulizi wake hakuwa Mungu, hivyo kuna yasiyofaa aliyatenda ambayo hayafai kuendelezwa.
 
Nataka nione kama hawa jamaa wataendeleza juhudi za serikali kuhamia Dodoma, naona dalili kama mambo yatakuwa tofauti.
Nani akakae Dodoma Jangwani? Mwendazake Mwenyewe amefia Dar.
Dodoma ni jangwa!
 
Mkuu si lazima afanye hivyo.. anaweza kuendelea na baraza hili lililopo, kulibadilisha au kutokulibadilisha ni uamuzi wake mwenyewe au anaweza fanya mabadiliko madogo tu...
Katiba haisemi hivyo. Vinginevyo hao mawaziri watakuwa wanaongozwa na kivuli cha Mwendazake Magufuli.
 
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchavhe ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.

Updates;

Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.

Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano yanaendelea!
Weka picha achaga longolongo
 
Afanye mabadiliko makubwa hawa akina Mwigulu, Mkumbo sijui Gwajima afukuze mara moja
Huyu anamalizia kazi tu. Hawezi Fanya mabadiliko makubwa. Ni Rais kwa mujibu wa katiba sio
 
Ndiyo mkuu na Lisu na chadema wako ikulu sasa
Hahahahaha najua imekuuma ila hakuna mji udumuo milele wala dhulma haina ujira mwema!!

Dhulma ya mwaka jana haijamchukulia round kudadadeki eti Jiwe nyoooo!!
 
Back
Top Bottom