Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Kikao cha baraza la mawaziri ni pigo Kwa Tundu Lisu na Chadema na ACT wazalendo wanaotangaza Tanzania kuwa ina Corona .Hakuna aliyevaa barakoa hata mmoja na wamebanana kukaa no social distance

Meseji sent kwa vyombo vyote vya habari duniani
 
Picha tafadhali
 
Duh.. Hapo nwishoni umeandika ki delicious!

Any way, ccm ni ile ile tuko madarakani, na Samia ni mfumo uleule.
Utajifariji sana ila mtesi na dhulumati convoy jammer halijamsaidia kuzuia roho yake isichoropoke!!

Yu wapi mwamba wenu mliyetaka atawale milele? Hahahahahaha
 
Utajifariji sana ila mtesi na dhulumati convoy jammer halijamsaidia kuzuia roho yake isichoropoke!!

Yu wapi mwamba wenu mliyetaka atawale milele? Hahahahahaha
CCM inaendelea kukutawala kupitia Samia Suluhu
 
Ccm inaendelea kukutawala kupitia Samia Suluhu
Kumbe nyie VIRUSI wachache mliobaki ndio akili zenu zinawatuma kusema kua MNATUTAWALA

Ccm sio chama kibaya, ila kuna washenzi washenzi akina nyie ambao ni WACHUMIA MATUMBO, na mna mawazo ya KUTAWALA TU mtaondoka WOTE

halafu kumbe nabishaana na kijana mdogo wa miaka 31./what do you know
 
Nimeshapaki vyombo, nasubiri tangazo kurudi Dar. Samia mtu wa Pwani hataweza ishi na Wagogo
Umejua kunichekesha. Ila waliohamia Dodoma mwanzo ulikuwa mgumu kila w.end Dar ila sasa wameshazoea
 
Kumbe nyie VIRUSI wachache mliobaki ndio akili zenu zinawatuma kusema kua MNATUTAWALA

Ccm sio chama kibaya, ila kuna washenzi washenzi akina nyie ambao ni WACHUMIA MATUMBO, na mna mawazo ya KUTAWALA TU mtaondoka WOTE

halafu kumbe nabishaana na kijana mdogo wa miaka 31./what do you know
CCM ndio chama tawala! Kumbe ukifikiri unatawaliwa na chama cha chauma?

Kijana mdogo kwako na nmekuzidi akili! Au ukifikiri kuwa mzee ndio kuwa na akili?
 
Ccm ndio chama tawala! Kumbe ukifikiri unatawaliwa na chama cha chauma?

Kijana mdogo kwako na nmekuzidi akili! Au ukifikiri kuwa mzee ndio kuwa na akili?
Mtu aliyestaarabika na msomi huwezi jivunia kutawala wenzako. Msomi husema tunaongoza sio tunatawala.

Anyways siamini jiwe linaenda kuliwa na funza
 
Mtu aliyestaarabika na msomi huwezi jivunia kutawala wenzako. Msomi husema tunaongoza sio tunatawala.

Anyways siamini jiwe linaenda kuliwa na funza
Kila mtu ataliwa na funza!

Kikubwa sasa hivi tunanagalia tulio hai hasa kumpa saport mama yetu Samia ili adakie alipoishia JPM na kuendelea kujenga nchi.

Mungu ibariki tz
Mungu mbariki Rais wetu Samia
Mungu ibariki ccm
R. I. P JPM.
 
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchavhe ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.

Updates;

Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.

Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano yanaendelea!
Job well done, they killed him, it’s time to congratulate one another. How on earth they lied to us when he was already dead. Am unable to understand this! We are back to where we were 6!years ago, ni kula hela yeti. Abolish the anti corruption squad tomorrow. Look at them none of them showed any grief at this ceremony! Anyone can tel l u they were celebrating!
 
Back
Top Bottom