cliff mkinga
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 107
- 83
Kikatiba nae ni mjumbe wa baraza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNaona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikatiba nae ni mjumbe wa baraza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNaona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
Mema gani zaidi ya uovu iliokithiri.Mama aendeleze mema yote ya JPM.
Nenda kashtaki The Haugue.Mema gani zaidi ya uovu iliokidhiri.
Ila asitulaze njaaa vijakazi wake eti kisa ameagiza NDEGE🤣🤣Mama aendeleze mema yote ya JPM.
Picha tafadhaliKikao cha baraza la mawaziri ni pigo Kwa Tundu Lisu na Chadema na ACT wazalendo wanaotangaza Tanzania kuwa ina Corona .Hakuna aliyevaa barakoa hata mmoja na wamebanana kukaa no social distance
Meseji sent kwa vyombo vyote vya habari duniani
Hujajibu swali mr yohanaWewe umezinduka?
Nenda youtube uone video kabisa za kuapishwa Mama SamiaPicha tafadhali
Utajifariji sana ila mtesi na dhulumati convoy jammer halijamsaidia kuzuia roho yake isichoropoke!!Duh.. Hapo nwishoni umeandika ki delicious!
Any way, ccm ni ile ile tuko madarakani, na Samia ni mfumo uleule.
SawaHuyu anamalizia kazi tu. Hawezi Fanya mabadiliko makubwa. Ni Raisi kwa mujibu wa katiba sio
CCM inaendelea kukutawala kupitia Samia SuluhuUtajifariji sana ila mtesi na dhulumati convoy jammer halijamsaidia kuzuia roho yake isichoropoke!!
Yu wapi mwamba wenu mliyetaka atawale milele? Hahahahahaha
Kumbe nyie VIRUSI wachache mliobaki ndio akili zenu zinawatuma kusema kua MNATUTAWALACcm inaendelea kukutawala kupitia Samia Suluhu
Umejua kunichekesha. Ila waliohamia Dodoma mwanzo ulikuwa mgumu kila w.end Dar ila sasa wameshazoeaNimeshapaki vyombo, nasubiri tangazo kurudi Dar. Samia mtu wa Pwani hataweza ishi na Wagogo
CCM ndio chama tawala! Kumbe ukifikiri unatawaliwa na chama cha chauma?Kumbe nyie VIRUSI wachache mliobaki ndio akili zenu zinawatuma kusema kua MNATUTAWALA
Ccm sio chama kibaya, ila kuna washenzi washenzi akina nyie ambao ni WACHUMIA MATUMBO, na mna mawazo ya KUTAWALA TU mtaondoka WOTE
halafu kumbe nabishaana na kijana mdogo wa miaka 31./what do you know
Mtu aliyestaarabika na msomi huwezi jivunia kutawala wenzako. Msomi husema tunaongoza sio tunatawala.Ccm ndio chama tawala! Kumbe ukifikiri unatawaliwa na chama cha chauma?
Kijana mdogo kwako na nmekuzidi akili! Au ukifikiri kuwa mzee ndio kuwa na akili?
Teh teh sasa mnasema CCM sio Magufuli tena?Ccm inaendelea kukutawala kupitia Samia Suluhu
Kila mtu ataliwa na funza!Mtu aliyestaarabika na msomi huwezi jivunia kutawala wenzako. Msomi husema tunaongoza sio tunatawala.
Anyways siamini jiwe linaenda kuliwa na funza
Kwani Magufuli alikuwa chama gani?Teh teh sasa mnasema CCM sio Magufuli tena?
Sawasawa...Hawezi kuteua kabla ya kulivunja hili lililopo!
Job well done, they killed him, it’s time to congratulate one another. How on earth they lied to us when he was already dead. Am unable to understand this! We are back to where we were 6!years ago, ni kula hela yeti. Abolish the anti corruption squad tomorrow. Look at them none of them showed any grief at this ceremony! Anyone can tel l u they were celebrating!Rais Samia Suluhu Hassan muda mchavhe ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.
Updates;
Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.
Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano yanaendelea!