Tafsiri mbovu hiyo.
Angalia mfano mzuri sana ulitokea Marekani mwaka 1963 wakati Kennedy alipouwawa. Baraza la kennedy lilikuwa hili
View attachment 1729771
Lakini baada ya kifo cha kennedy, Johnson alichukua madaraka ya uraisi na baraza lake lilikuwa hili hapa chini. Angalia kuwa baraza lote aliloacha Kennedy liliendelea hadi baada ya Uchaguzi wa mwaka 1964. TLS hawa ni pumba sana.
View attachment 1729770
Serikali ni institution, siyo ufalme wa mtu mmoja. Rais akifa, haina maana kuwa serikali imekufa!!