Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

Kikao cha baraza la mawaziri ni pigo Kwa Tundu Lisu na Chadema na ACT wazalendo wanaotangaza Tanzania kuwa ina Corona .Hakuna aliyevaa barakoa hata mmoja na wamebanana kukaa no social distance

Meseji sent kwa vyombo vyote vya habari duniani
Hayaa wakianza kuumwa na kufa sisi tunaomboleza tu. Yaani watanzania sijui tupoje Ugonjwa tunachukulia poa ok
 
Nenda kashtaki The Haugue.
The haugue kitu gan bhana, sisi yetu ni sala na dua tu kwa Mungu wetu wa haki muumbaji wetu awezae kujibu maombi ya waja wake na kuwapatilizia haki. Tendeni haki na acheni kuonea na kuumiza wengine.
 
The haugue kitu gan bhana, sisi yetu ni sala na dua tu kwa Mungu wetu wa haki muumbaji wetu awezae kujibu maombi ya waja wake na kuwapatilizia haki. Tendeni haki na acheni kuonea na kuumiza wengine.
Haya kaeni mtulie muendelee na maombi, mambo ya matembezi ya amani, maandamano acheni kabisa, fanyeni maombi hivyohivyo.
 
Kwa Mujibu Wa Muongozo Uliotolewa Na TLS Leo, Yaani kwasasa hakuna Waziri Mkuu wala Baraza la Mawaziri 🤔🤔🤔🤔🤔... Usaidizi Tafadhari
 
Hawa TLS naona wanapuyanga tu!! Tatizo ukishajiona unajua sana mara zote lazima uharibu, hawa wanadhani sheria/katiba wanaijua sana kumbe wanapuyanga tu!

Kwanza uongozi wa SASA bado ni wa Serikali ya awamu ya Tano!! Si awamu ya Sita kama wengi wanavyodhani!

Mh: SSH ni Rais wa Sita lakini anaongoza Serikali ya awamu ya Tano ndio maana hata ilani anayoitumia haitabadilishwa!
 
TLS wameweka na vifungu vya katiba ya jamuhuri ya muungano ila wewe umeweka ugoro tu
Mama SSH hajawahi kuwa Rais Mteule!!! Baraza linakoma pale Rais Mteule anapoapa kuwa Rais,

Kama bado hujaelewa kakojoe ulale, waambie na TLS wako pia
 
Kwa Mujibu Wa Muongozo Uliotolewa Na TLS Leo, Yaani kwasasa hakuna Waziri Mkuu wala Baraza la Mawaziri 🤔🤔🤔🤔🤔... Usaidizi Tafadhari
Hao ni Baraza la Wanaharakati wanapotosha wakati wanajua kabisa vifungu vya Katiba havihusiana na Rais aliyepatikana kupitia Makamu wa Rais. Vifungu hivyo vinahusiana na Rais aliyepatikana kupitia Uchaguzi Mkuu. Inasikitisha sana kama Baraza la TLS linaweza kutoa utopolo wa hali ya juu kiasi hivyo!
 
Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa Samia ni Rais wa awamu ya 5? Samia ni Rais kamili na soon atapandekeza makamu, baraza anaweza kuvunja au akaendelea nalo au akalifanyia mabadiliko, kitu pekee Hawezi kugusa ni bunge ila serikali anaweza kuibadilisha.
 
Kwa hiyo na wewe unakubali kuwa samia ni rais wa awamu ya 5? Samia ni rais kamili na soon atapandekeza makamu , baraza anaweza kuvunja au akaendelea nalo au akalifanyia mabadiliko, kitu pekee Hawezi kugusa ni bunge ila serikali anaweza kuibadilisha.
Mkuu wewe umeleta issue nyingine ya Awamu kabla ya kuanza kubisha anza kwanza kujua maana ya Awamu kwa mujibu wa sheria za TZ.
 
Mama SSH hajawahi kuwa Rais Mteule!!! Baraza linakoma pale Rais Mteule anapoapa kiwa Rais,

Kama bado hujaelewa kakojoe ulale, waambie na TLS wako pia
Kuhusu baraza kulivunja, mimi nadhani ni suala la muda tu. Kila zama na kitabu chake bwashehe.
 
Hicho chama kilichokuwa kinaongozwa na yule mkimbizi hakina la maana, vipi kama mheshimiwa akiwaweka wote katika nafasi zao zile zile na kiapo kikafanyika kwa pamoja kama vile wanaimba kwaya.?
 
TLS wameweka na vifungu vya katiba ya jamuhuri ya muungano ila wewe umeweka ugoro tu
Hakuna kifungu kinachosema moja kwa moja. Maana yake ni kwamba Rais mteule ameachiwa uwanja mpana wa kujidai! Akiamua anavunja anateua waziri mkuu upya na hivyo baraza la mawaziri kuvunjika automatically!

Kisha anasuka upya baraza lake! Kwa upande mwingine kwa kuwa katiba haijatamka moja kwa moja kuwa lazima ateue waziri mkuu mpya, anaweza kumwacha huyo huyo na kuliacha baraza hilo hilo!
 
Wairi anaapa kwa nani na waliopo wameapa kwa nani...

Na kwanini waziri akihamishwa wizara anaapa tena?

Rais akiingia madarakani ndani ya siku 14 anatakiwa amteue waziri mkuu... je mama SHH hajaingia madarakani kama Rais wa nchi?
 
Hawa TLS naona wanapuyanga tu!! Tatizo ukishajiona unajua sana mara zote lazima uharibu, hawa wanadhani sheria/katiba wanaijua sana kumbe wanapuyanga tu!!
Usiweke porojo tupu kama Jiwe, weka vifungu vya Katiba kupinga tamko la TLS.
 
Back
Top Bottom