johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawezi kuteua kabla ya kulivunja hili lililopo!Waziri Sonyo au? Maana ilitakiwa ateue mawaziri wake kisha afanye kikao na cabinet yake
Alafu tukulishe .....picha zote za marehemu pombe zitolewe ukutani.
Amesema JPM alimuandaa vizuri!Mama aendeleze mema yote ya JPM.
Mkuu si lazima afanye hivyo.. anaweza kuendelea na baraza hili lililopo, kulibadilisha au kutokulibadilisha ni uamuzi wake mwenyewe au anaweza fanya mabadiliko madogo tu...Waziri Sonyo au? Maana ilitakiwa ateue mawaziri wake kisha afanye kikao na cabinet yake
Huyo keshapiga mbege!Alafu tukulishe .....
Kikatiba ni mjumbe wa baraza la mawaziriNaona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
Makamo wa kwanza wa Rais yeye hajaingia au siyo mjumbe?Rais Samia Suluhu Hassan muda mchavhe ujao ataongoza kikao cha baraza la mawaziri.
Updates;
Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameshaingia ukumbini.
Ni mjumbe wa baraza la mawaziriNaona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?
Afanye mabadiliko makubwa hawa akina Mwigulu, Mkumbo sijui Gwajima afukuze mara mojaMkuu si lazima afanye hivyo.. anaweza kuendelea na baraza hili lililopo, kulibadilisha au kutokulibadilisha ni uamuzi wake mwenyewe au anaweza fanya mabadiliko madogo tu...
Siyo mjumbe!Makamo wa kwanza wa Rais yeye hajaingia au siyo mjumbe?
Bora January MakambaAkibadilisha mawaziri nina hakika January Makamba na Nape wanarudi tena. Na kuna wengi mashawishi watapigwa chini
Naona mpaka Mwinyi nae anaingia kikaoni, au ndio anachukua nafasi ya VP kwa muda?