Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

Bado haujasema mpaka useme na utasema tu yaani mpaka useme na utasema tu Mwenzio ndiyo hivyo tena kala pipa huyo Uarabuni kwenda kuiwakilisha nchi, ukileta za kuleta unapigwa ya kichwa ufe
Walikuwepo more powerful tyrants kama kina Gadaffi leo ni historia tu. So ni suala la muda tu naye atafuata the same fate
 
Achana na sisi wapelekeeni taarifa wauwaji sisi tume mkataa
 
01 February 2026
Accra, Ghana

Rais Mahama wa Ghana ameondoka Accra kwenda Dubai kuhudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=tY1SgIBI-Z4Rais Mahama ameondoka Accra kwenda Dubai kuhudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia wa mwaka huu, akisafiri kwa ndege iliyotolewa na Rais wa Falme za Kiarabu na Mtawala wa Abu Dhabi. Baada ya mkutano huo, Rais ataendelea kwenda Zambia, akitumia ndege hiyo hiyo kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Rais Hakainde Hichilema.
 
TETESI. ACCRA, Ghana
Rais Mahama aondoka Ghana kuelekea Dubai kwa ndege maalum, gharama zote zikilipwa na Abu Dhabi King

View: https://m.youtube.com/watch?v=xOIeYNiaUaw
Rais John Mahama ameondoka kwenda Dubai, Falme za Kiarabu, kwa ndege maalum iliyotolewa na Mtawala wa Abu Dhabi, kabla ya ziara yake ya kitaifa nchini Zambia. Safari hii ni sehemu ya juhudi zake za kuimarisha uhusiano wa kikanda na kuendeleza ushirikiano wa kibiashara kote Afrika. Mahama atahudhuria Mkutano wa Serikali za Dunia wa 2026 na kushiriki katika mazungumzo ya ngazi ya juu ya pande mbili.
 
Maraisi Dunia nzima wako huko nchi 150
 
Ingekuwa ni aheri asirudi kabisa. Abakie huko huko kwa washirika wake wa kuiba rasilimali za nchi yetu.
 
Machawa wanahangaika sana kuanzisha habari na kuichangia wenyewe tena wengine kwa kutumia ID zaidi ya moja, hii yote ikiwa ni njia ya kuganga njaa.

Nimethibitisha kwamba hakuna mkutano kama huo nchini UAE na hiyo ni just a private trip devoid of any benefit to Tanzania as a nation.
 
Kwani Idd Amin alikuwa hasafiri. Mbona alifika hadi NEW York na hotuba yake?
Kumchinja Kobe lazima timing!
 
Alikua na kiberiti /lighter
Kwa wewe kujua alikua na kiberiti yawezekana ni wewe uliempiga risasi au tupe udhibitisho wa picha uliyompiga kwa karibu kua ameshika kiberiti na maelezo ya kina ukifafanua kua je kwa mwanamke ama mwanamama wa kitanzania anaetafuta riziki akiwa ameshika kiberiti anauwawa kwa kupigwa risasi ya mgongo? ..au je wamama wote tanzania wanaotembea na kiberiti kwa siku hio je walifanya kosa kua na kiberiti Hadi kufikiwa kuuawawa? Ielezee hadhira ya jamii forums wanaosoma kwa niaba ya serikali yako chini ya rais wako na waliotekeleza mauaji ..
 

Miviongozi ya Tanganyika na ujinga:

 
UZURI DELTA FORCE IPO HUKO FALME ZA KIARABU.AKIFIKA TU ANANYAKULIWA KAMA MWEWE ANAVYONYAKUA KIFARANGA CHA KUKU AKITOKEA ANGANI
 
Huyo hata hana la kufanya
Ameisha bakia kubwabwaja mara icc, mara no freight zone, hamtatoka airport, mara kimbia, yaan ujinga ujinga kibao
Huyo anajifia mdogo mdogo achana naye
Yaani huyo kama keshachanganyikiwa vile
 
Machawa bwana ICC hawajatoa Arrest warrant Kwa Samia so ana uhuru wa kwenda US Hadi EU, wakitoa arrest warrant hapo ata Kenya hakanyagi

So wekeni akina ya maneno
Lini wataitoa hiyo warrant ili watu waache mauzurulaji?
 
Hilo jiwe na ule mpini alikua anaenda kufanyia nini wapi na kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…