Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara

Tukiwaambia kuwa marehemu alikuwa ni bladifakenii huwa hamsikii!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mama anaupiga mwingi sana.
Tumechelewa sana. Safi sana Mama Samia. Mapandikizi ya nchi za nje yanetumika sana kuwalisha matangopori watanzania na kuifanya nchi yetu ikose miradi ya maendeleo.
Mazungumzo yaanze vijana wapate ajira.
 
Huyu Mama anafanya Vitu Kwa Kufuraisha Watu, anataka Kuonekana hakubaliani na Mawazo ya Mtangulizi Wake. Angalia Hata Mradi wa Ujenzi Wa Kimara-kibaha Ni kama Umebuma Kabisa, Mradi Wa Hyo Barabara umekufa
Uzuri wote ni CCM.
 
Bandari ya Dar kwaheri, Mtwara na Tanga adios,

Kwaheri Tanzania karibu mkoloni.
Mawazo ya kijinga sana haya. Yaani bandari zife kwa kuongeza bandari? Mkataba uwekwe wazi tuone content kama zina maslahi bandari ijengwe, kama hauna maslahi urekebishwe uwe na maslahi kwetu bandari ijengwe. Ya dar es salaam pia na nyingine ziboreshwe. Tuachane na kukariri na woga wa kupigwa tu. Ss sio mafala wala wanyonge.
 
Mawazo ya kijinga sana haya. Yaani bandari zife kwa kuongeza bandari? Mkataba uwekwe wazi tuone content kama zina maslahi bandari ijengwe, kama hauna maslahi urekebishwe bandari ijengwe. Ya dar es salaam pia na nyingine ziboreshwe.
Unaamini queen [emoji219] atautoa Huo Mkataba?
 
Mawazo ya kijinga sana haya. Yaani bandari zife kwa kuongeza bandari? Mkataba uwekwe wazi tuone content kama zina maslahi bandari ijengwe, kama hauna maslahi urekebishwe bandari ijengwe. Ya dar es salaam pia na nyingine ziboreshwe.
Nani akuwekee mkataba ndugu sahau hilo,
 
Huyu Mama anafanya Vitu Kwa Kufuraisha Watu, anataka Kuonekana hakubaliani na Mawazo ya Mtangulizi Wake. Angalia Hata Mradi wa Ujenzi Wa Kimara-kibaha Ni kama Umebuma Kabisa, Mradi Wa Hyo Barabara umekufa
Haujafa mbona mapipa yapo njia nzima na usiku ndio hatari😄😀😄😀😄
 
Safi tumezubaa bandari ya bagamoyo itakua na manufaa makubwa kwa nchi na afrika kwa ujumla
 
Huyu Mama anafanya Vitu Kwa Kufuraisha Watu, anataka Kuonekana hakubaliani na Mawazo ya Mtangulizi Wake. Angalia Hata Mradi wa Ujenzi Wa Kimara-kibaha Ni kama Umebuma Kabisa, Mradi Wa Hyo Barabara umekufa
Tatizo jiwe alidhani Nchi kama kijiwe chake anaamua anavyotaka yeye ni ujinga
 
Back
Top Bottom