Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Pongeza kama umeona jema.Kwa sasa wengine tunabaki kuwa watazamaji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pongeza kama umeona jema.Kwa sasa wengine tunabaki kuwa watazamaji tu.
TAGA NI TAGA TUBandari ya Dar kwaheri, Mtwara na Tanga adios,
Kwaheri Tanzania karibu mkoloni.
Leo nakubaliana na wewe kabisa...Maana sisi wananchi ni kama hatuna tunachojua kila anapoingia mtu anatupeleka kwa mapenzi yake na wala siyo kitaasisi...Cry my country...Never thought this way, today am more disappointed kuliko siku zote!Wacha sasa tubaki watazamaji tu wa hii issue.
Magu aliamua kivyake, na Mama nae kaja kivyake, ila wote wanaendeleza usiri wa mikataba.
CCM sssa ndio muone na mjifunze kwa vitendo kuwa Katiba mpya ni muhimu, na kwamba ili nchi isonge mbele, hatuhitaji strong people bali strong institutions na katiba iliyo bora na zaidi watawala wanaoheshimu utawala wa sheria.
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni wazo zuri sana iwapo tu mkataba utazingatia maslahi ya nchi kwa maana ya win win situation na si vinginevyo. Masharti yasije yakaumiza vizazi vijao mf unufaika wa masuala ya kodi kwa nchi, umilki wa bandari kwa miongo kadhaa, zuio la uendelezaj wa bandari za serikali, mgao wa hisa na PPP ni muhimu kuangaliwa kwa kina nkKwanini tumlaum Samia kujifanyia mambo ilhal watangulizi wake nao walijifanyia na kuacha ya watangulizi wao?
Anzia Mwinyi, BM, JK na JPM wote walijifanyia mambo yao.
Kuepuka hili tudai katiba vinginevyo kwa utamaduni usio rasmi wa kujifanyia mambo utadumu miaka mingi
Mkuu Uzalendo wa kweli ni kutumikia nchi kwa maslahi ya nchi,tuombe Mungu wachina wawe hawajabadili nia yao ovu....Leo nakubaliana na wewe kabisa...Maana sisi wananchi ni kama hatuna tunachojua kila anapoingia mtu anatupeleka kwa mapenzi yake na wala siyo kitaasisi...Cry my country...Never thought this way, today am more disappointed kuliko siku zote!
Kumbe tunaweza danganywa tukaaminishwa vitu na "mtu" anaiyeitwa rais kwakua ni mtu na siyo taasisi?
Somebody come and clarify kama aliyepita ilikuwa ni taasisi why did they tell us lies kuhusu mkataba na huyu anayekuja tutajuaje kuwa anatuambia ukweli kama wa kwanza alitudanganya wakati katiba ni ile ile na utendaji ni wa chama kile kile tena ilani ni ileile?
Hakuwa Malaika jiulize kwa nini ilisemwa mkataba ni mbovu lakini hakuonesha kwa maandishi zaidi ya kusema tu ni mbovu na huu nao hatujui uhalisia wake ukoje maana yote yanafananawendazake naye hakuuweka wazi, Spika naye alienda huko kuonyeshwa akiwa chinibya mwendazake akausifia kisha akaukana, mwendazake alupoondoka akauibukia tena
I agree!Kwanini tumlaum Samia kujifanyia mambo ilhal watangulizi wake nao walijifanyia na kuacha ya watangulizi wao?
Anzia Mwinyi, BM, JK na JPM wote walijifanyia mambo yao.
Kuepuka hili tudai katiba vinginevyo kwa utamaduni usio rasmi wa kujifanyia mambo utadumu miaka mingi
Umenena vizuri lakini hili haliwezekani kwasababu hizi;Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni wazo zuri sana iwapo tu mkataba utazingatia maslahi ya nchi kwa maana ya win win situation na si vinginevyo. Masharti yasije yakaumiza vizazi vijao mf unufaika wa masuala ya kodi kwa nchi, umilki wa bandari kwa miongo kadhaa, zuio la uendelezaj wa bandari za serikali, mgao wa hisa na PPP ni muhimu kuangaliwa kwa kina nk
Mradi wa Bagamoyo ilikuwa ni mpango wa Kikwete.Rais Mama Samia Suluhu amesema wamemeanza Mazungumzo ya kufufua Mradi wa Bandari ya Bagamoyo uliokua umesimama.
Amesema hayo katika mkutano na 12 wa Baraza la Taifa la biashara.
“Kuhusu mradi wa Bagamoyo, niwape habari njema kwamba tumeshaanza mazungumzo ya kufufua mradi wote wa Bagamoyo, tunakwenda kuanza mazungumzo na Taasisi ambayo ilikuja kwa ajili ya mradi huo kwa lengo la kuufungua kwa faida ya Taifa letu” @SuluhuSamia
View attachment 1830556
Exactly! So why tunashuku maamuzi ya awali kama conditions zilikuwa untenable??? Je hilo limebadilika? Kama ndio... how? [emoji1431][emoji1431][emoji1431]Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni wazo zuri sana iwapo tu mkataba utazingatia maslahi ya nchi kwa maana ya win win situation na si vinginevyo. Masharti yasije yakaumiza vizazi vijao mf unufaika wa masuala ya kodi kwa nchi, umilki wa bandari kwa miongo kadhaa, zuio la uendelezaj wa bandari za serikali, mgao wa hisa na PPP ni muhimu kuangaliwa kwa kina nk