Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara

Leo nakubaliana na wewe kabisa...Maana sisi wananchi ni kama hatuna tunachojua kila anapoingia mtu anatupeleka kwa mapenzi yake na wala siyo kitaasisi...Cry my country...Never thought this way, today am more disappointed kuliko siku zote!
Kumbe tunaweza danganywa tukaaminishwa vitu na "mtu" anayeitwa rais kwakua ni mtu na siyo taasisi?

Somebody come and clarify kama aliyepita ilikuwa ni taasisi why did they tell us lies kuhusu mkataba na huyu anayekuja tutajuaje kuwa anatuambia ukweli kama wa kwanza alitudanganya wakati katiba ni ile ile na utendaji ni wa chama kile kile tena ilani ni ileile?
 
Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ni wazo zuri sana iwapo tu mkataba utazingatia maslahi ya nchi kwa maana ya win win situation na si vinginevyo. Masharti yasije yakaumiza vizazi vijao mf unufaika wa masuala ya kodi kwa nchi, umilki wa bandari kwa miongo kadhaa, zuio la uendelezaj wa bandari za serikali, mgao wa hisa na PPP ni muhimu kuangaliwa kwa kina nk
 
Mkuu Uzalendo wa kweli ni kutumikia nchi kwa maslahi ya nchi,tuombe Mungu wachina wawe hawajabadili nia yao ovu....
 
 
I agree!

Kusema ukweli katiba hii ni ya hatari kuliko bomu la nuklia
 
Umenena vizuri lakini hili haliwezekani kwasababu hizi;
1. Wanasiasa wanafanya vitu kwa maslahi yao kisiasa na sio maslahi mapana ya taifa

2. Wanasiasa wanaogopa vitu sahihi badala yake wanafanya vitu vizuri kwa ajili ya kuangalia next term ya kugombea, ili wawaonyeshe wapiga kura ili waombe kura tena. Hii ni hasara kubwa sana kwa taifa.
 
Mradi wa Bagamoyo ilikuwa ni mpango wa Kikwete.
Huyu madam SSH ni swahiba mkubwa wa Kikwete na Kikwete ndiye anaongoza nchi kutokea Msoga.
Miradi yote ya kikwete itafufuliwa.
 
Exactly! So why tunashuku maamuzi ya awali kama conditions zilikuwa untenable??? Je hilo limebadilika? Kama ndio... how? [emoji1431][emoji1431][emoji1431]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…