Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ya Samia tuachie sie.
Wewe umejiunga JF leo tu na kuanza kuingilia mambo yetu.
 
Kitu pekee Cha kumzuia asishinde Urais mwaka huo ni labda ccm wasimpitishe kugombea 2025 ambapo sijaona hiyo possibility
 
Lazima ashinde kwa kuwa hakuna upinzani tanzania kuna kundi la waganga njaa tu. Leo Dr. Slaaa ndio anaonekana potential canditate wa chadema ndio kiini cha kelele zote hizi mnazosikia hadi kuingiza dini. Wamesahau yote ambayo Dr. Slaa aliwatenda mwaka 2015
 
Hata Wapinzani wangekuwepo ni hawajielewi Vyama vya matukio 🤣🤣
 
Rais wa nchi ni public good , wananchi wanatakiwa wajue alipo wakati wowote!! It goes with her job description! It is only corrupt leaders who happen not to be transparent!! Wanaficha maovu yao.
Wakati wowote??
 
Kwa hiyo wewe hoja yako ni kwamba huitaki CCM?
Hujali kama kiongoz aliepo anauwezo au la?
Sasa mimi niitake ccm kwa lipi hasa iliyoifanyia nchi hii? Zaidi tu ya viongozi wake kujilimbikizia mali, kuendelea kuididimiza nchi kiuchumi kwa kuwakumbatia mafisadi, kuuza raslimali za Taifa kwa wageni na wakati huo hio wakiwatesa wananchi kupitia kodi na tozo zisizokuwa na kichwa wala miguu!

Yaani ukinipa bunduki muda huu ili niue chochote kile kilichopo mbele yangu, basi utambue fika nitaanza na ccm. Maana huyu ndiyo chanzo cha matatizo yote nchini. By the way ccm imejaza wachumia tumbo tu. Hivyo hakuna kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza, halafu akapatikana ccm.
 
Ni kweli atatangazwa mshindi sio kwasababu ya wingi wa kura, bali mifumo ya uchaguzi iliyopo automatically inaibeba CCM. Na kwakuwa cheo cha urais ndio kinaamua idadi gani ya kura apewe mgombea yoyote wa CCM, basi atatangazwa mshindi kwa idadi ya kura azitakazo, na sio lazima ziwe ni kura halali kwenye box la kura.

Kwa maneno marahisi ni kwamba, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Tatizo ni CCM kutuletea viongozi wabovu mihula yote.

Kuikataa ni jambo la baraka
Twende kwenye vyama vya upinzani ukiachana na msigwa kuitengeneza itanga ikapenda kwa kias chake ni mbunge gani wa upinzani ukineda jimboni kwake leo unakuta jimbo lina afya?
 
Huu uzi uunganishwe tu na nyinge. Au ufutwe kabisa. Ni upupu tu.

Maisha yamekaza hivyo afu anatokea mtu anaota tu kamq hivi yani.
 
Inajulikana wazi kuwa hata akiwekwa yeye na paka kwenye sanduku la kura kupitia tume huru na nguvu ya polisi Nyau anaibuka kidedea kwenda Ikulu. 🤣🤣🤣

Kwa kulitambua hilo ni ubabe tu ndio hutumika kuwarejesha chama cha mambuzi madarakani.
 
Ukiona umeanzisha mada kama hii mapema kabla ya mwaka wa uchaguzi kufika maana yake unaweweseka.Anayejiamini hana maneno mengi yakujitapa..vitendo vitaongea muda ukifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…