Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tangu nyakati za NDIYO na HAPANA ilkuwa ukiweka HAPANA ni hapana mwingine na waliendelea "kushinda" na kuapishwa.
 
Ni mpinzani gani wa Samia nje ya ccm ambaye ana sifa ya kuwa tz president? Tunge anzia hapo kwanza
 
Kwa. Mfumo wetu wa uchaguzi ulivyo hakuna mshindi.
Kuna anayetangazwa kwamba ameshinda.
Mwenye final say siyo mpiga kura bali anayetangaza matokeo
Cha muhimu ni huo Urais
 
Atashindana na nani na kwa tume ipi ya uchaguzi??

Hivi kwa Hali mbaya ya uchumi tuliyo nayo bado anataka tena??
 
Chura kiziwi ni kiburi kuliko hata hayati JPM, anakutazama na kutabasamu mbele yako halafu anaendelea na msimamo wake ule ule wa jana na juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…