Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Aisee Chadomo Watapata sana tabu aisee maana Kila kukicha SSH anazidi kwenda viwango vingine.
"Baada ya miaka minne!!!"Mafanikio yanamfuata Samia
Sawa"Baada ya miaka minne!!!"
===
Hii ni code mpya?
Naomba jibu tafadhali, unanipa wasiwasi ujue!Sawa
Wasiwasi ndio akiliNaomba jibu tafadhali, unanipa wasiwasi ujue!
Aisee Chadomo Watapata sana tabu aisee maana Kila kukicha SSH anazidi kwenda viwango vingine.
View: https://www.instagram.com/p/DNU6sTRCQCe/?igsh=bHYya243Zm1nZnhh
Ni Rais wa Botswana sio mpumbavu kama wewe.Eti tuzo ya kimataifa ya kinara wa maji..!!!
Hivi anayetoa hizi tuzo ni chawa gani, hivi ana akili kweli??
Dar tu maji ya bomba ni ya shida mno.
Nasikia wachina wameruhusiwa kutapanya hazina ya maji ya mto Ruvu kumwagilia mboga zao pembezoni mwa mto for export, afu mnapeana tuzo tu!
Wee kenge, yaani rais wa Botswana ndo ampe sa100 tuzo ya maji??Ni Rais wa Botswana sio mpumbavu kama wewe.
Kinachopimwa ni kasi ya kutatua shida,shida haziwezi malizwa ndani ya miaka 4.
Anajua kama wanavyojua Hawa wajeda wanaompa Tuzo LeoWee kenge, yaani rais wa Botswana ndo ampe sa100 tuzo ya maji??
Anajua nini juu ya upatikanaji wa maji Tanzania?