Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

Mji wa kichovu sana afu wenyeji wanajifanya wajanja kumbe hamna kitu
Dodoma mji gani bana we si umeona mwendazake kahamishia watu kule ila yeye kaja kufia Dar , kule vuuuumbi aaahgh eti alitaka kumenzi Baba wa Taifa Dom is a crap simple
 
Wakuu naombeni kujua kwa mererani kitalu C ni nini?
Rais kapiga biti kali hataki kuona kitalu C kinaguswa..
 
Gbadolite na Yamasoukrou vimebaki kuwa mazalio ya popo tuone Tz chapter
 

Uzuri mama ni msikivu, ukimsikiliza kwa makini unagundua siyo mtu wa kujilimbikizia mamlaka, anadelegate power kwa subordinates wake. Kipindi chake wataibuka wabunifu na wazalendo wa kweli, siyo wanafiki....Tuweni pamoja, tumuungeni mkono Rais wetu, tuijenge Nchi yetu. Kukiwa na shida ,platforms zipo za kutoa ushauri
 
Raisi asama Madini yaliyoko mbugani yachimbwe Wanyama hawali wala hawayahitaji madini .Ataka Cost benefit analyisis ifanyike haraka

pia mimi binafsi nashauri madini ya Chuma watafutwe wawekezaji wachimbe .Lichuma kule Liganga liko kibao tinaliangalia tu

Pia tuna Uranium kanda ya kati na kusini yachimbwe tu na mafuta kule Zanzibar watu wachukue majembe waende kuchimba
 
Hapo kwenye usikivu ndio shida anasikiliza sana mpaka anaachana na uhalisia.

Hivi kuna chombo gani cha habari kilichofungiwa moja kwa moja Tanzania, unachokijua wewe?

Halafu hapo hapo anataka mamlaka husika zichukue hatua za kisheria kwa wa wale watakaokiuka kanuni, sasa baadhi ya adhabu unapokiuka kanuni si fungio la muda linahusika. Ukisoma mitandao hatua hizo zinapochukuliwa wanaita kuminya uhuru wa habari.

Most of us support her, but some of us on merit; not her popularity stunts kama kwenye hotuba yake ya leo.
 
Kwema mkuu?? πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwandiko ka umesusa?!
Mafuta wakachimbie majembe??πŸ˜‚
Wasusa wenzio twala, mafuta tutachimbia hata meno yakhee!

Everyday is Saturday................................😎
 
Kwa bandiko lako hili we ni wale wale wafuasi wa Jiwe ambao walikuwa wanashangilia kila aina ya upuuzi na ukandamizaji kwa Watz kwene Biashara, Uwekezaji and Watumishi ulokua unafanywa na Jiwe....!!!
Mama ameanza kuwaweka pembeni na kubadili mwelekeo toka Udikteta UCHWARA kwenda Serikali ya kiungwana yenye kufuata MISINGI YA UTAWALA BORA mmeanza nyodo...!!!

Tulieni kavile mnanyolewa.....kutesa ni kwa zamu....this is not your time!!
Mwacheni mommy apige kazi na mwisho wa 2025 tuone who performed better than the other...!!
 
Kwema mkuu?? πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwandiko ka umesusa?!
Mafuta wakachimbie majembe??πŸ˜‚
Wasusa wenzio twala, mafuta tutachimbia hata meno yakhee!

Everyday is Saturday................................😎
Achana naye. Ashazoe tukitukanwa kila siku
 
"Katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee". President Mrs. Sameer Suluhu Hassan. 6th April, 2021, State House,Dar-es- Salaam

Nimeipenda sana hii slogan ya mommy!!
 
Hahahaha mataga mtakunya nyembe mwaka huu huyu ndio rais tuliyekuwa tunamsubiri ka mmesusa lambeni hewa shwaini nyieeeee
 
Kwa bandiko lako hili we ni wale wale wafuasi wa Jiwe ambao walikuwa wanashindwa kila upuuzi na ukandamizaji wa Watz kwene Biashara, Uwekezaji and Watumishi...
Angalia tena vizuri speech yake leo mawaziri wa zamani wote wanamuogopa akitaja wizara zao wanakuwa wadogo kweli hasa alipoanza na Ummy Mwalimu (na huyo ndio kipenzi chake) inaonekana mama sio mtu wa mzaha privately akikiwasha kitaeleweka; personality yake na Magufuli sioni tofauti.

Na kawaida serikalini ukishaanza kutumbua wazembe ndio ugomvi unapoanza, kwa vile nilivyomsoma leo honey moon period will end soon akianza kutumbua ni Magufuli mtupu on inside kwenye ku deal na wanafanyakazi. Shida yake ni huku kujipendekeza kwake kila mtu ampende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…