MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
305
Reaction score
728
HABARI PICHA:

Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi.

Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa huo.

Hili ni jengo la mfano na la kipekee ni tofauti na majengo mengine ya Jeshi la Polisi Nchini.

#SerikaliKazini
 
Tatizo la polisi huwa sio wabunifu. Vijumba vyao vyote nchi nzima vinafanana pia ofisi zao hivo hivo. Hilo jengo linafanana na linalojengwa Musoma huko hivo hivo
 
Usasa ni nini? so tutegemee wataacha kuandika RB kwa kutumia vipande vya Mabox? Usasa sio jengo. USasa ni kuwa na akili za kisasa. Jeshi la Police ni moja ya taasisi inayo endeshwa kijima sana still bado wako zama za mawe, yaani hata Industry revolution haijatake place kwenye taasisi.
 
Jeshi lake la kuwatesa watanzania
 
si lingezinduliwa na waziri tu
 
Maoni, ushauri kwa Mama yetu kipenzi Rais wa JMT ambaye ndio mwenye serikali na mwenye mamlaka ya kutoa agizo lolote : kilio walioajiriwa 2014 kudai kupandishwa vyeo kama ilivyostahiki hakijasikilizwa, ni hivi 👉kufikia 2018 walipaswa kupanda vyeo kwa mara ya kwanza, kufikia 2021 walipaswa kuwa kwenye cheo cha pili, kufikia 2024 walipaswa kuwa kwenye cheo cha tatu, lakini ilivyo ni kuwa wapo kwenye cheo cha pili badala ya cheo cha tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…