johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ulitaka awekwe nani?Nimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
Sure. Hawafai kabisa wale pamoja na kuendelea na Mwigulu mtu ambaye hafai kabisa.Nimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
Hahahaaaa, Ulitaka nani awe waziri wa fedha?!!Sure hawafai kabisa wale pamoja na kuendelea na Mwigulu mtu ambaye hafai kabisa
Wameisha watu wenye utimamu kichwaniHahahaaaa..... Ulitaka nani awe waziri wa fedha?!!
Awamu ni ya 6 lakini ilani ni ile ile ila mbeba maono amebadilika!Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.
Awamu sio miaka. Kama ni miaka hatupo awamu ya tano maana nyerere alitawala miaka mingapi?Awamu moja ni miaka mitano, sasa yy atarun kwa miaka mitano?
Ilani ni ya chama cha mapinduzi, haibanwi na awamu.Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.
Ameamua kuwafuta kina nyinyi mliozoea kwenda kuuza majungu na fitina.Mama ameanza kufuta NYAYO ZA JAMAA.
Isije ikawa KUFA KUFAANA.[emoji46][emoji46][emoji46]