Hii ni awamu ya sita. Awamu ni raisi si miaka. Kwann ni awamu ya tano kama ni miaka? Nyerere alitawala awamu ngapi kama ni miaka?Maana awamu ni miaka mitano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni awamu ya sita. Awamu ni raisi si miaka. Kwann ni awamu ya tano kama ni miaka? Nyerere alitawala awamu ngapi kama ni miaka?Maana awamu ni miaka mitano.
Mkuu uko sawa huyu ni raisi wa awamu ya 5, kwani lini tumefanya uchaguzi mpya wa hiyo awamu ya 6 ?angesema tu mimi ni raisi wa 6 kwenye awamu ya 5, nilipiga kura uchaguzi wa awamu ya 5 ya sita bado hadi uchaguzi ujao. mara hii tumeanza kujikana!Nimemsikia hata mimi,ila inatafakarisha kweli kweli.Maana awamu ni miaka mitano,na Rais wa kina awamu huwa anachaguliwa kwa sanduku la kura.Mimi nilidhani huyu ni Rais wa sita,ila awamu ni ya tano!Labda tungepata ufafanuzi wa kisheria kutoka kwenye vyombo vyetu vya sheria,maana nilisikia mwanasheria mmoja aliyekuwa amealikwa TBC akisema hii ni awamu ya tano.
Ameamua kuwafuta kina nyinyi mliozoea kwenda kuuza majungu na fitina.
Kuna namna mbili za kuwa raisi Tanzania kulingana na katiba. Si uchaguzi tu. Mbona mambo madogo tu haya hayaitaji akili kubwa. Awamu inahesabiwa kwa raisi si miaka. Nyerere alitawala awamu ngapi kama awamu ni miaka? Kwann tupo awamu ya tano?Mkuu uko sawa huyu ni raisi wa awamu ya 5, kwani lini tumefanya uchaguzi mpya wa hiyo awamu ya 6 ?angesema tu mimi ni raisi wa 6 kwenye awamu ya 5, nilipiga kura uchaguzi wa awamu ya 5 ya sita bado hadi uchaguzi ujao. mara hii tumeanza kujikana!
Nimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
Si katoa na angalizo... Kwamba awamu ya 6 lkn atawaangalia utendaji na hapo mpunga na makapi itajulikanaSure hawafai kabisa wale pamoja na kuendelea na Mwigulu mtu ambaye hafai kabisa
Ilani haifuati awamu Inafuata miaka ya uchaguzi.Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.
Mkuu awamu sio miaka Ila awamu ni viongozi,huyu ws Sasa ni rais wa sits ,hivyo awamu ya Kwanza au rais wa Kwanza ni Mwl Nyerere,awamu ya pili au rais wa pili ni mzee Mwinyi,awamu ya tatu au rais wa tatu ni hayati Mkapa......Awamu moja ni miaka mitano, sasa yy atarun kwa miaka mitano?
Duh......watu wanatoka mbali bwashee!View attachment 1739568
Mkuu, katoka naye mbali yuleee!
Mambo ya siasa utashangaa wanaweza kubadili gear angani wakaanza kutwanga ngoma zingine!Nimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
Tulia badoNimemdharau kwa kuwaacha Wale Mawaziri wa afya.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Basi usiteseke manka!Kwenye watanzania milion 60 unaniuliza Hilo swali bila aibu
Leo amekuwa confident sanaMama ameanza kufuta NYAYO ZA JAMAA.
Isije ikawa KUFA KUFAANA.[emoji46][emoji46][emoji46]
Hakuna jipya snSi katoa na angalizo... Kwamba awamu ya 6 lkn atawaangalia utendaji na hapo mpunga na makapi itajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hajafunika kichwa hapa?View attachment 1739568
Mkuu, katoka naye mbali yuleee!
Umemuamini ?Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.
Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!