This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Awamu bado Ni ya tano.Awamu ya tano iliisha lini?Angalau ametoa ule mkanganyiko, japo ni awamu ya sita lakini ilani inatumika ya awamu ya tano au anaandaa ya awamu yake, niweke sawa kidogo hapo chief.
Awamu ya uraisi Tanzania ni miaka kumi, siyo mitano .
MH.Samia bado anahudumu ktk awamu ya tano akiwa Rais wa 6.
Awamu ya tano inakamilika 2025.