Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

Kauli mbiu ya awamu ya sita ni ipi?

kila awamu ina kauli mbiu yake.

mfano Ujamaa na Kujitegemea Nyerere.

Ruksa mzee Mwinyi....

Uwazi na Ukweli Mkapa.

Hari Mpya Kasi mpya Kikwete.

Hapa kazi tu Magufuli
Kwanza ruksa haikuwa kauli mbiu ya Mzee Mwinyi. Halafu kauli mbiu siyo lengo bali ni msemo tu ambao Rais anapenda kuutumia na watu wakauchukua, kwa mfano leo Samia amesema "zege hailali" hii watu wanaweza wakaichukua na kuifanya ndiyo kauli mbiu yake.
 
Nimemsikia hata mimi,ila inatafakarisha kweli kweli.Maana awamu ni miaka mitano,na Rais wa kila awamu huwa anachaguliwa kwa sanduku la kura.

Mimi nilidhani huyu ni Rais wa sita, ila awamu ni ya tano!Labda tungepata ufafanuzi wa kisheria kutoka kwenye vyombo vyetu vya sheria,maana nilisikia mwanasheria mmoja aliyekuwa amealikwa TBC akisema hii ni awamu ya tano.

Anyway ni ya tano au ya sita sio issue sana,wananchi tunachotaka ni kupiga hatua kimaendeleo.
Hakuna sheria ya awamu bali ni Rais wa ngapi tangu tupate uhuru. Ndiyo sababu Hussein Mwinyi ni Rais wa awamu ya nane Zanzibar.
 
Kwa maelezo yako uhalali wa awamu ina miaka kumi una walakini boss.

JPM angeongezewa miaka 5 angekuwa ametawala awamu ngapi?
Ha ha ha maswali yako yakaa kimtego mtego sana mzee, angekuwa rais wa tano ktk awamu ya sita,.
 
Nakubaliana kupingana na wewe...awamu ni term ya Uongozi..Yani ni nyakati kwa namna nyingine tunaweza kusema..Yaya nyakati hii BADO ni ya awamu ya tano yenye Serikali ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ..mwaka 2025 ikigombea akashinda anakuwa Rais wa 6 katika awamu ya Sita Kama atakuwa Rais Mwingine akishinda anakuwa Rais wa Saba katika awamu ya Sita..Angalia Marekani ndio utaelewa ..
Upo sahihi kabisa
 
Kiuhalisia nyerere hakufuata katiba au labda ilikuwa bado haijawa structured, bt kiuhalisia ametawala awamu tatu ambazo alipaswa kusaidiwa na raia wawili.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani unadhani raisi samia hawezi kukosea?
Awamu ni vipindi viwili sasa kama kakosea na wewe ukosee?
Kama atapata nafasi kupindi cha pili ndi ataongoza vipindi viwili cha tano na sita.
 
Kwani unadhani raisi samia hawezi kukosea?
Awamu ni vipindi viwili sasa kama kakosea na wewe ukosee?
Kama atapata nafasi kupindi cha pili ndi ataongoza vipindi viwili cha tano na sita.
Kazi kweli kweli!
 
Mm navojua tangu zamani ni awamu inatokana na mtu mpya anayeingia madarakani, hvy n sahihi mheshimiwa rais kusema yeye ni wa awamu ya sita
mbona waziri mkuu niwaawamu ya5? Naaliapa kiapo cha utii kwa kiongozi waawamu ya5? Hata baadhi yamawaziri pia, hii imekaaje kisheria?
 
Kauli mbiu ya awamu ya sita ni ipi?

kila awamu ina kauli mbiu yake.

mfano Ujamaa na Kujitegemea Nyerere.

Ruksa mzee Mwinyi....

Uwazi na Ukweli Mkapa.

Hari Mpya Kasi mpya Kikwete.

Hapa kazi tu Magufuli
Zege hailali
 
Awamu moja ni miaka mitano, sasa yy atarun kwa miaka mitano?

Haikwisha, aliyeibeba awamu hii keshakufa, imeishia njiani hiyo..

Hii maana yake tunarudi square one. Anaingia mbeba maono mwingine na kufungua kitabu kipya kabisa...

Hii ni awamu mpya, Awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu Hassani...
 
Sasa kuzungumza mambo ya awamu ina uhusiano gani na maendeleo yasio na vyama au marekebisho nayo ni maendeleo?
Awamu Siyo kipindi au miaka. Ni nani yuko madarakani. Kuna awamu ya Nyerere, Awamu ya Mwinyi, Awamu ya Mkapa, Awamu ya Kikwete, Awamu ya Magufuli na sasa ni Awamu ya Samia.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hii ni Serikali ya awamu ya 6 hivyo atakayeshindwa kasi yake ataachwa njiani.

Namshukuru sana Rais Samia kwa kuliweka sawa hili kwani jana watu wengi walinibishia nilipowaambia mimi naamini hii ni awamu ya 6.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanza ni makosa tu lugha inayotumika, bali ni Rais wa 6 tangu tupate Uhuru. Hizo Awam labda ndani ya chama huko, lakini Serikalini ambako kuna itakadi tofauti tofauti na wengine hawana vyama, hii ni awam ya 6!
 
Mkuu uko sawa huyu ni raisi wa awamu ya 5, kwani lini tumefanya uchaguzi mpya wa hiyo awamu ya 6 ?angesema tu mimi ni raisi wa 6 kwenye awamu ya 5, nilipiga kura uchaguzi wa awamu ya 5 ya sita bado hadi uchaguzi ujao. mara hii tumeanza kujikana!
Neno awam halina mantiki kwa muktadha wa senario iliyojitokeza baada ya Incumbent kufariki(R.I.P JPM)
Kwa ufupi kama miaka ingekua ni awam, je baba wa Taifa alikua na awamu 2 au 3?
Kwa lugha rahisini Rais(mtu) wa 6 kama nchi tukiwa Tanzania Huru, hayo mengine ya awamu labda kwny chama chao
 
Back
Top Bottom