Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kwanza ruksa haikuwa kauli mbiu ya Mzee Mwinyi. Halafu kauli mbiu siyo lengo bali ni msemo tu ambao Rais anapenda kuutumia na watu wakauchukua, kwa mfano leo Samia amesema "zege hailali" hii watu wanaweza wakaichukua na kuifanya ndiyo kauli mbiu yake.Kauli mbiu ya awamu ya sita ni ipi?
kila awamu ina kauli mbiu yake.
mfano Ujamaa na Kujitegemea Nyerere.
Ruksa mzee Mwinyi....
Uwazi na Ukweli Mkapa.
Hari Mpya Kasi mpya Kikwete.
Hapa kazi tu Magufuli