Mengine huwa yanakuwa kwa maslahi mapana ya nchi, sasa Chief ulitaka Ulimboka mmoja asababishe wagonjwa nchi nzima wafe hovyo mahospitalini? Mwangosi ulikuwa ni uzembe wa askari katika purukushani ya maandamano, I think alishtakiwa

Umpeleke Mahakamani kwa kosa gani? Kuna kosa la kiongozi wa chama cha wafanyakazi kuongoza watu wake kugoma? Ilibidi itafutwe njia mbadala ili watu wengi wapone