Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Umesahau ya kina Ulimboka, Mwangosi nk?
Mengine huwa yanakuwa kwa maslahi mapana ya nchi, sasa Chief ulitaka Ulimboka mmoja asababishe wagonjwa nchi nzima wafe hovyo mahospitalini? Mwangosi ulikuwa ni uzembe wa askari katika purukushani ya maandamano, I think alishtakiwa
 
Alishitakiwa wapi? Maslahi ya nchi ni kuteka badala ya kumpeleka mahakamani?
 
Umpeleke Mahakamani kwa kosa gani? Kuna kosa la kiongozi wa chama cha wafanyakazi kuongoza watu wake kugoma? Ilibidi itafutwe njia mbadala ili watu wengi wapone
 
Back
Top Bottom