Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

Yule shangazi yako kule kijijini ambae hata mlo mmoja hapati,yeye unataka abaki hivyo hivyo milele?Angalau wewe tayari unapata mlo mmoja.Ngoja shangazi yako naye tumuwekee miundo mbinu ya kupata mlo mmoja,usijifikirie wewe tu.Huo ni ubinafsi.

Na hayo mapambano unayo ongelea ni mapambano gani kwanza.Hayo mbona yapo miaka mingi na tunajua yanafanywa na mapandikizi ya mabeberu.Hayo hayatakoma,hata mishahara ikiongezwa.Unachofanya wewe kipya ni kuzidisha mgongano huo na serikali na kuuhalalisha.Naweza kuiita hii AN INSTIGATION TO REVOLT AGAINST A LEGIMATELY ELECTED GOVERNMENT.
Umenena!
 
K

Aisee, umelalamika sana mkuu, kwani wewe mshaharawako ni shingapi maana huu sio uzi ni gazeti.
Unasema rais atatumbukizwa kwenyebshimo na ndugai??

Kwani asipoongeaz mshahara mtamfanya nini, waajiriwa serikalini wapo wachache sana ukilinganisha na jobless ambao wapo mitaani na niwasomi wataalam kuzidi kuliko nyie ambao mpo kwenye ajira.

Acha kumtishia tishia rais wewe, kama unajifanya kichaa hebu jaribu tu kujiuzulu hapo ulipo alafu kaapembeni uone watu wangapi wenye elimu kuzidi wewe watakao omba hiyo nafasiyako kwa mshahara huohuo.

Tulizeni akilizeni msubiri kauli ya rais sio kujifa kumpangia pangia wesubiri akiongeza shukuru endelea na kazi asipoongeza amua kusuka amakunyoa.
Hamna kitu hapo. Huo mshahara wako hapo REA ndiyo unakupa kiburi wewe!
 
JPM kafariki mwezi wa Tatu bajeti ilishaandaliwa bado kusomwa tu,kama kuna ongezeko jua lilishapata baraka ya JPM na kama hakuna jua bado watumishi waendelee kufunga mkanda labda mwakani kwa bajeti itakayomuhusu Mama kifupi hana ujanja wa kubadili chochote labda posho mbalimbali za watumishi upandaji wa madaraja anaweza kinyume na hapo sahau.
Mzimu wa JPM!
 
Hakika Mungu atamuongoza vyema asiingie kwenye mtego mbaya.
 
Na mwaka huu wasiponipandisha tena daraja, mapambano yatendelea mpaka kieleweke. Hakuna namna. Ni lazima wote tuonje keki ya Taifa.

Haiwezekani wachache tu wafaidi, huku wengi tukitaabika kwa mishahara kiduchu.
Hivi kupanda madaraja kazini ni takwa la Rais au la kisheria?
 
Hivi kupanda madaraja kazini ni takwa la Rais au la kisheria?
Ni takwa la kisheria. Ila kwa bahati mbaya yule hayati alijigeuza kuwa ndiye sheria, ndiye katiba, ndiye mwokozi wa kila kitu, ndiye alfa na omega! nk.
 
Na mwaka huu wasiponipandisha tena daraja, mapambano yatendelea mpaka kieleweke. Hakuna namna. Ni lazima wote tuonje keki ya Taifa.

Haiwezekani wachache tu wafaidi, huku wengi tukitaabika kwa mishahara kiduchu.
Je kesho tutafurahi kama leo? Masikio yetu tunahamishia Mwanzaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom