Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mtego Mkubwa sana Mei Mosi hii ya mwaka 2021

Umenena!
 
Hamna kitu hapo. Huo mshahara wako hapo REA ndiyo unakupa kiburi wewe!
 
Mzimu wa JPM!
 
Hakika Mungu atamuongoza vyema asiingie kwenye mtego mbaya.
 
Na mwaka huu wasiponipandisha tena daraja, mapambano yatendelea mpaka kieleweke. Hakuna namna. Ni lazima wote tuonje keki ya Taifa.

Haiwezekani wachache tu wafaidi, huku wengi tukitaabika kwa mishahara kiduchu.
Hivi kupanda madaraja kazini ni takwa la Rais au la kisheria?
 
Hivi kupanda madaraja kazini ni takwa la Rais au la kisheria?
Ni takwa la kisheria. Ila kwa bahati mbaya yule hayati alijigeuza kuwa ndiye sheria, ndiye katiba, ndiye mwokozi wa kila kitu, ndiye alfa na omega! nk.
 
Na mwaka huu wasiponipandisha tena daraja, mapambano yatendelea mpaka kieleweke. Hakuna namna. Ni lazima wote tuonje keki ya Taifa.

Haiwezekani wachache tu wafaidi, huku wengi tukitaabika kwa mishahara kiduchu.
Je kesho tutafurahi kama leo? Masikio yetu tunahamishia Mwanzaaaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…