Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tozo gan imefutwa?jamaa ovyo sana eti lilisema tozo wananchi walishirikishwa wakazikubali
Sasa mbona amezifuta, huyu jamaa inabidi ajiuzulu kwa udanganyifu wake wa waziwazi
Tozo gan imefutwa?
Sidhani Kama umeelewa. Kikichofutwa tozo za kutransfer pesa, tozo za miama ya simu na ATM zipo Kama kawaida![]()
Serikali yafuta tozo...
Hatimaye Serikali imesikia kilio cha Watanzania kwa kufuta na kupunguza kiwango cha tozo za miamala ya kieletroniki.www.mwananchi.co.tz
afadhali kidogo mkuu kulipo ilivyokuwa ateast tutaendeelea kutumia sim banking na mifumo ya kinbenk kuna jamaa nawalipaga kupitia benki waliniambia hawataki tena mambo ya benki kutokana na tozo wakataka niwe nawalipa mkononi sasa ikawa inakuwa very risk kwangu mimi kutembea na cash moneySidhani Kama umeelewa. Kikichofutwa tozo za kutransfer pesa, tozo za miama ya simu na ATM zipo Kama kawaida
Pato moja lina katwa kodi mara nne nne... Dhurma.Kodi ni muhimu sana ila utii na unyenyekevu mdomoni na akilini ni lazima sio ombi, tunaihitaji Kodi ili tusonge mbele ila ije katika hamasa na matamko yenye Nia njema na kutoa moyo bidii ya kusongesha uchumi na maendeleo.
Kimuonekano Mwigulu anafana na Rais Kikwete, sijui historia ya Kikwete ila kama damu yake vile, sina hakika ila nikimcheki Mwigulu kila siku naona kitu Kwa Kikwete.
Mwigulu anafaa ila kwa Ile kauli ngumu kusamehewa na Samia atachukiwa sana Mwigulu akiendelea kubaki hapo. Mwigulu Cha ajabu yeye ndiye nguzo ya uchumi mtachagua wenyewe, mimi nataka abaki ila aombe radhi waziwazi pale bungeni kuhusu kuhamia Burundi na kwamba sisi watanzania ndio tuliomba tozo za miamala. Kodi ni muhimu Kwa maendeleo haikwepeki
Mwigulu rais 2015Mwigu ni ZIGO la misumar mgongoni mwa raia maskinii!!
Fukuza huyo Mwigulu. Hatumtaki kabisa.Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.
Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.
Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.
NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
Mwigulu Rais 2015 kwenye mgongo wa....😃😃😃!!! Aibu!!!.Mwigulu rais 2015
Kwenye mawe
Mwigulu rais 2015
Kwenye miti
Mwigulu rais 2015
Kwenye katani
Mwigulu rais 2015
Kwenye kuta za nyumba
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Rais
Rai
Ra
Ra
R
Aaaaaaaaaaaaaaaaa ha faiiii
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.
Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.
Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.
NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
Acheni wishful thinking za kijinga na kuona kaskazini tu ndio wanafaa kuwa mawaziri.Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.
Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.
Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.
NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
Mwigulu ndio nguzo ya uchumi? Umerogwa weweMwigulu ndio nguzo ya uchumi wa Tz kwa sasa. Na kodi lazima tulipe. Sema tu kaskazini ndio wanaendesha hizi siasa za maji taka kwa sababu ya tamaa ya uwaziri
Mtafute wa kwako, ila Dr. nchemba ndio wakati wakeMwigulu ndio nguzo ya uchumi? Umerogwa wewe
Wakati wa kulipana fadhila kwa kuliangamiza jiwe, unadhani utadumu mpaka lini?Mtafute wa kwako, ila Dr. nchemba ndio wakati wake