voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Hujajenga hoja zenye Mashiko na hujaonyesha Madhara ya Mwigulu kwa Rais.Naandika kwa heshima taadhima kabisa kukuomba umuondoe katika wizara ya Fedha Phd Mwigulu Mchemba.
Ukijaribu kuona huyu bwana ameweza kukuingiza mkenge mara mbili kwenye suala la tozo.
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.
Mh Rais, kwa uchache huu unadhani ni makubwa mangapi anafanya kifichoni na huyajui.
Mbaya zaidi anatujibu sisi wapiga kura wako kuwa waende Burundi, kumbuka kuwa huyu hakupigiwa kura na watanzania wote bali na watu wa jimbo lake pekee ila wewe utapigiwa kura na Watanzania wote.
NB: Mwigulu, nkuita Mwigulu mdomo uliponza kichwa.
Binafsi siipendi falsafa ya Mwigulu katika kusimamia na kuuendeleza Uchumi wa nchi hii.
Lakini nimeona hoja yako ni hafifu sana.