Rais Samia Suluhu Hassan, muondoe Mwigulu

Nilishaacha kufanya jambo la hela kwenye simu na kwenye Bank ninaelekea kuacha kabisa.
 
Sidhani Kama umeelewa. Kikichofutwa tozo za kutransfer pesa, tozo za miama ya simu na ATM zipo Kama kawaida
afadhali kidogo mkuu kulipo ilivyokuwa ateast tutaendeelea kutumia sim banking na mifumo ya kinbenk kuna jamaa nawalipaga kupitia benki waliniambia hawataki tena mambo ya benki kutokana na tozo wakataka niwe nawalipa mkononi sasa ikawa inakuwa very risk kwangu mimi kutembea na cash money
 
Pato moja lina katwa kodi mara nne nne... Dhurma.
 
Kwanza Nikupe Pole Mh.Rais kwa safari ya kwenda kumzika Malkia Elizabeth 11 huko Uingereza.Pili Pole kwa Malalamiko ya Masikini Wapiga kura kwa Kutishwa ZIGO ZITO la TOZO na Waziri wako wa FEDHA zigo ambalo Lawama zote UMETISHWA WEWE.
Ushauri
Mabadiriko ya Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango ni MUHIMU usisubiri Yatokee Mazito.
Waziri aliyopo ATUPISHE.
 

Attachments

  • JamiiForums1856381968.jpg
    119.9 KB · Views: 4
Mwigu ni ZIGO la misumar mgongoni mwa raia maskinii!!
Mwigulu rais 2015
Kwenye mawe

Mwigulu rais 2015
Kwenye miti


Mwigulu rais 2015
Kwenye katani


Mwigulu rais 2015
Kwenye kuta za nyumba


Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015

Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Mwigulu rais 2015
Rais
Rai
Ra
Ra
R
Aaaaaaaaaaaaaaaaa ha faiiii
 
Mungu findi, hiki kichwa ndo kingepata urais sijui tungekuwa wapi
 
Fukuza huyo Mwigulu. Hatumtaki kabisa.
 
Mwigulu Rais 2015 kwenye mgongo wa....πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ!!! Aibu!!!.
 
Mwaka jana alichomeka tozo zikaja kufanyiwa adjustment ambayo inaathiri bajeti na hivyo kupelekea mipango yote isitimie, na sasa tena karudia.
[emoji2827][emoji2827]
Sikio la kufa...!
 
Acheni wishful thinking za kijinga na kuona kaskazini tu ndio wanafaa kuwa mawaziri.
 
Mwigulu ndio nguzo ya uchumi wa Tz kwa sasa. Na kodi lazima tulipe. Sema tu kaskazini ndio wanaendesha hizi siasa za maji taka kwa sababu ya tamaa ya uwaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…