Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Una shida sehemu mkuuAtuombee au tumuombee?!
au hamuani yuko peponi na Malaika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una shida sehemu mkuuAtuombee au tumuombee?!
au hamuani yuko peponi na Malaika?
Jiwe lilikupasua mbaya kabisaYaani bado wanaangaika na jiwe?
Kwani uliko piga ramli haukufunuliwa shida ninayo sehemu ganiUna shida sehemu mkuu
Hahahaha...unadhan wote tunapiga ramli kama upande wa 2Kwani uliko piga ramli haukufunuliwa shida ninayo sehemu gani
Kusema tu una shida bila kunipa tiba haitoshi
Haki nakuapia atafunikwa vibaya sana na Samia!!! Ni suala LA muda tuuu !!! Ngoja mama aongeze mishahara na kutoa ajira na kuachia watu walio fungwa bila sababu nakuapia mtamkimbia huyo mungu wenuMagufuli anaendelea kuishi kwenye mioyo ya Watanzania.
Amka mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haki nakuapia atafunikwa vibaya sana na Samia!!! Ni suala LA muda tuuu !!! Ngoja mama aongeze mishahara na kutoa ajira na kuachia watu walio fungwa bila sababu nakuapia mtamkimbia huyo mungu wenu
Kwanini wasema hivyo? Lilinipasua una maana gani?Jiwe lilikupasua mbaya kabisa
Tuiteje kama sio ramli za kilingeni?!Hahahaha...unadhan wote tunapiga ramli kama upande wa 2
Magufuli anaendelea kuishi kwenye mioyo ya Watanzania.
Afe na huko aendako afe tenaMnamuonea wivu hayati jamani. Mfe na nyinyi muone kama mtakumbukwa ivo