Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Kanitag basi msh'kaji wangu....si unajua weekend ndo hii πKuna faili lake humu akihusishwa na mambo ya biriani.
Ahsante kwa muongozo, faili limfikie Maza Hausi
Hahahahaa, search tu utauona uzi, ni wa kitambo sana 2014 kama sikoseiKanitag basi msh'kaji wangu....si unajua weekend ndo hii [emoji41]
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
OhoooHahahahaa, search tu utauona uzi, ni wa kitambo sana 2014 kama sikosei
Kadri unavyompigia mtu chapuo (campaign) ndivyo unavyompunguzia nafasi ya uteuzi. Kama ni mtu sahihi mamlaka za uteuzi zitamuona na kumpa fursa ya kuwatumikia watanzania wenzake.Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania.
ana mchango mkubwa kwa jamii!Kadri unavyompigia mtu chapuo (campaign) ndivyo unavyompunguzia nafasi ya uteuzi. Kama ni mtu sahihi mamlaka za uteuzi zitamuona na kumpa fursa ya kuwatumikia watanzania wenzake.
Okayana mchango mkubwa kwa jamii!
Mimi namuomba mama ampe ubungeHuwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Mimi pia naomba ampe ubunge Kajala Masanja,kwa kazi nzuriπHuwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Nje ya siasa anaweza kuitumikia jamii vizuri zaidi kuliko ndani ya siasa, sio kila anaesaidia jamii anapaswa kupewa nafasi ya teuzi au ya kisiasa, kila mtu ana motives zake na ambitionsHuwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!
Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Kuuza lipstick na pedi watu wapewe ubunge!?!Yani kitu kidogo ubunge
Hizi pedi zenyewe mtaji mamilioni kahongwa na kigwagwalah enzi zile akiwa anadokoa.mjini utaficha yote ila siku itajulikanaKuuza lipstick na pedi watu wapewe ubunge!?!
Tuwe serious kidogo kuna tatizo la covid-19 bungeni bado halijatatuliwa nafikiri tumalize hilo kwanza.
Everyday is Saturday............................... π
Na #team_Gigy na #team_AmberRutty π nao watasema tuwafikirie jamani!Kila anaefanya kitu huko Instagram ndo apewe ubunge?Why her?
Kwanini sio wengine?
Na hata ndoa yake haioimeki kama iko heaven au hellKuna faili lake humu akihusishwa na mambo ya biriani.
Ahsante kwa muongozo, faili limfikie Maza Hausi