Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

Huyo
Hizi pedi zenyewe mtaji mamilioni kahongwa na kigwagwalah enzi zile akiwa anadokoa.mjini utaficha yote ila siku itajulikana
Mwana fa kapewa ubunge yupo yupo tu haeleweki hana hoja.ila akija sasa huku mtaani..
Hili bunge halina vipaji vipya,ndo maana mama wa chato kaona isiwe shida kaamua kunenepa zake
 
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!

Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Bora wabunge wangechangia yeye kujengewa sanamu si sadalaa
 
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!

Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Hayo mambo anayofanya mbona wengine hatuyafaham,tufahamishe tafadhali
 
Kuna faili lake humu akihusishwa na mambo ya biriani.

Ahsante kwa muongozo, faili limfikie Maza Hausi
Unasema mbunge mtarajiwa kafanyaje?
Sema astaghafillulah shekhe [emoji1][emoji1]View attachment 1815640
JamiiForums544313249.jpg
 
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!

Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!
Nyie ndio mnasababisha Gwajima yuko mjengoni.. Mazuri yanajionyesha next move mtataka Konde boy aingie bungeni pia tuheshimu ile sehemu tunapeleka wawakilishi wetu

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Huyo flaviana hana akili, kichwani ni mweupe sana. Bora hata apewe giggy money Ila sio huyo
 
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya ya kujikinga na ajali za majini!

Mama, chondechonde naomba umuwezesha huyu dada wa mfano!

Kama Ubunge Tanzania ni wa Kupeana tu hovyo kama Michango ya Kadi za Harusi basi hata Mimi GENTAMYCINE naomba niteuliwe Ubunge Mawazo yangu mengi hapa JamiiForums yana Tija kwa Jamii husika na hasa kwa Serikali, Watendaji wake na mpaka katika Sekta ya Michezo.
 
wewe ushagawa hata leso kwa mtoto wako?
 
Sasa akiwa mbunge ni Nani atayafanya hayo. Pia yeye ilikuwa ni passion yake kuyafanya na sio kuwezeshwa bana kuwa mbunge ama ni wewe unajipigia chapuo
 
Back
Top Bottom